Huyo
NairobiWalker ni muongo na mbishi sana. Hizo picha anazodai ni kigoma mjini sio kigoma mjini bali ni kijiji fulani wilaya ya Manyovu km 50 kutoka kigoma town.
View: https://youtu.be/sIpzkACnoAw?si=B7OAx5i6YySYQDFv
Mzungu baada ya kufika kigoma aliona haya. Mpaka anasema ndo mara ya kwanza in a while kuona proper city, anashangaa Traffic lights ( Nairobi tu traffic light za kuhesabu) , street roads ziko paved, hotel in AC nk.
Nimescreenshot hapa kuleta ushahidi.
Hapa anasema ndo amefika in a true African city
View attachment 3015572
Hapa kasema kuona traffic lights in a while
View attachment 3015566
Hapa anashangaa kukuta AC kigoma
View attachment 3015565
Hapa anashangaa hata street roads ziko paved
View attachment 3015568
Hapa anapata best view kabisa ya lake Tanganyika
View attachment 3015571