Kiongozi wako sahihi lazima ujipime nguo kutokana na size yako hata kwa wenzetu waliondelea ticket ya train ni more expensive kuliko ya ndege hao watakaolipa bei ya juu watakuwa wana subsidise wale wanaolipa bei ya chini na pia hiyo price inaweza kuwa na extra services zake kama food and drinks. It is more convenient kwa company executives na leaders who will be shuttling between Dar commercial capital na Dom administrative capital.Kwa hapa wamechemka tena wamechemka Vibaya Sana 😃😃😃😃