ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haya sikia hii ng'ombe yenye komwe 🤣🤣🤣Huyo haniwezi. Kwanza aache kulishwa na bibi na atafute pesa yake, haezikuwa na kichwa kubwa, pua kubwa na maskio makubwa lakini bado analishwa na msichana.😂😂😂
Again I think nilikuambia mambo yetu na Sama boy 255 uachane nayo kabisa. Mimi na yeye tunaishi in our respective countries while wewe ni mkimbizi wa Yemen, umekimbia umaskini wa Yemen ukajiangusha kwa ufukara wa Tanzania 😂😂😂.
Do you even know where your ancestors were buried?😂😂
Wewe samaboy humuingii hata robo chizi wewe, unajipendekeza kwa Sama boy Kwan uliskia Sama boy anatumia soda ya kopo au?? Au umezoea ule mchezo wa chomoa Ni jambe 😃😃😃😃😃
Sama boy 255 VP unaruka nae huyu ??🤣🤣
MTU mwenyewe hata kuoga hajui
Huyu taa ya check engine na airbag inawaka muda wote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣