Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe kwa hiyo video sehemu ya Moyale inayokaa hivi. 🤣 🤣 🤣
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967
Mabati chakavu 😭😭😭🙌
 
Mmeshindwa maendeleo Sasa mmeingilia Bei ya wali.😂😂😂
Maendeleo yanaanza na lishe kwanza kama hamna cheapest shibe matokeo yake ndio kama haya wakati Marais wengine wanafunga mikataba ya multi billion dollars deals Ruto anafunga misaada ya vibaba vya mchele akawalishe hasolaz wanaokufa njaa 😂😂😂

GLWQaRbWMAALtFJ.jpeg
 
View attachment 3015234
Sio Moyale na Kigoma tena? 😂😂Kawaida ya Mtanzania. Mnaleta mijadala wenyewe mnaruka. Have a nice day sir.🚮🚮🚮
 
Tuanze na idadi;
According to the 2019 census, marsabit county has a population of 459,785

Kigoma Region has a total population of 2,470,967
 
Back
Top Bottom