Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makenya ni masenge sana, ukisikia yanaongelea kipimo chao cha maendeleo utacheka aisee, yote utaona yanataja malls na ghorofa, hajui malls are just shops na ghorofa ni kama nyumba tu, hazina mchango wowote wa maana kwenye maendeleo ya taifa.
Malls represent the purchasing of the community where the mall is located. Hamuezikuwa na malls when the purchasing power iko chini. Low purchasing power means low money circulation.

Same to gorofa, tall buildings are only built to those who can buy them.
 
Sasa naanza kuwagonga na takwimu. Maana issue ya Kigoma imekosa Comeback.
Idadi ya watu kwa asilimia waliotembelea Tanzania 2023 na Sababu
Macho yetu yaangazie eneo la Matibabu

1718187721202.png

Malls represent the purchasing of the community where the mall is located. Hamuezikuwa na malls when the purchasing power iko chini. Low purchasing power means low money circulation.

Same to gorofa, tall buildings are only built to those who can buy them.
Purching power ya upuuzi, Unaelewa maana ya purchasing power?
Mwenzako hapo juu kuna comment aliandika Tanzania cost of living ipo chini, wewe unakuja kusema purchasing power ya Tz inazidiwa na Kenya, hivi nyie mnajielewa kweli? hamjui hata mnazungumza nini...

Nchi yenye purchasing power kubwa gharama ya maisha huwa inakuwa chini..
 
Nawagonga kwa Tawkimu tu Hizi ni Information za kisoma. Vijana wa Mama Ngina ni vigumu sana kuzielewa.

Hizi Takwimu zinaongea mambo mengi sana. Hapa maana yake Kenya, Zambia na Burundi wanakuja sana kwa kujirudia hapa Tanzania. It means maisha yao yanategemea Tanzania

1718188317236.png

1718188388879.png
 
Nimeangalia nikacheka. Kula smocha Hadi utupe picha humu.😂😂
Huyu jamaa huwa anajiaibisha😂😂😂.

Hiyo picha ya smocha ni ya last month alitulia tu nayo kwa simu akingoja perfect time kuitupa huku😂😂😂
 
Purching power ya upuuzi, Unaelewa maana ya purchasing power?
Mwenzako hapo juu kuna comment aliandika Tanzania cost of living ipo chini, wewe unakuja kusema purchasing power ya Tz inazidiwa na Kenya, hivi nyie mnajielewa kweli? hamjui hata mnazungumza nini...

Nchi yenye purchasing power kubwa gharama ya maisha huwa inakuwa chini..
Hii ni economics ya wapi kaka.., umekurupuka kimandazi sana, ebu rudia, eti "nchi yenye what?........."😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 nchi zile fukara fukara kama Tanzania, malawi, Uganda n.k, ndio ziko na maisha ya chini sana kwa mtazamo wa mtu anaye tokea kwenye nchi ya uchumi kubwa, yeye anaona maisha yako chini sana!.., kwa mfano a studio apartment, yaani bedsitter in New York is around $1,500 na zaidi kwa mwezi(Tsh. 3,900,000, Kshs.195,000), akija Kenya ama Tanzania ataona ni kama bei ya nyumba ni almost free..., na wako na purchasing power kubwa ndio maana bidhaa pia inapanda bei.., demand iko juu, so lazima price iwe juu, lakini fukara kama Tanzania,yenye mafukara wengi, purchasing power iko down, so lazima bei ziwe chini sana, ndio kila mtu amudu maisha, yaani bidhaa na services ni cheap sana kwa mgeni anaetokea taifa lenye uchumikubwa with bigger purchasing power, mko hovyo!!!!!
 
Back
Top Bottom