The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Na hata ikitokea Gor Mahia ikiahirisha hiyo mechi kaa mkijua kama itaingia round ya pili japo najua haitaweza ila nitaiombea iingie round ya pili alafu ikutane na Yanga qumaaamaee alafu ikione cha mtema kuni, mana Yanga haianzii hatua za awali kama timu za Afrika mashriki, sisi tunaanzia hatua ya pili, sasa we ngoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona denial and anger stage zilipita, sahizi muko kwa bargaining stage. Next ni depression alafu tufunge na acceptance.