Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunasubiri Ruto naye 🤣 🤣 🤣
1718093214607.png
 
Heheheeee, CECAFA wameiomba Tanzania isaidie michezo hususan soka hapa EA wameleta michuano ya Kagame Tanzania, timu kutoka Congo (TP mazembe), Uganda, Kenya, Sudan n.k zitahudhuria, japo simba na Yanga bado hazija confirm mana ratiba zetu zinabana lkn CECAFA kupitia rais wao (Warace Karia🇹🇿) anaendelea kuzibembeleza Simba na Yanga zishiriki.

Kazi bado iko palepale mnuka mavi Teargas Gor Mahia itakuja alafu tuone sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yanga tutapeleka team b
 
TIMU 16 KUKIWASHA KAGAME CUP ZANZIBAR

Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati imerejea na itaamza kutimua vumbi Julai 6 hadi 22 mwaka huu visiwani Zanzibar.

Timu zitakazoshiriki ni :-
1. Yanga SC - Tanzania Bara,
2. Simba SC - Tanzania Bara,
3. Azam FC - Tanzania Bara,
4. Coastal Union - Tanzania Bara
5. JKU SC - Zanzibar
6. Vital'O - Burundi,
7. APR FC - Rwanda,
8. Al Merreikh - Sudan,
9. Al Hilal - Sudan,
10. Hai El Wadi - Sudan,
11. Gor Mahia - Kenya,
12. SC Villa - Uganda,
13. Bentiu - Sudan Kusini,

Aidha, timu tatu kutoka nje ya nchi wanachama wa CECAFA zilizoalikwa na kuthibitisha kushiriki michuano hiyo ni TP Mazembe (DR Congo), Nyasa Big Bullets (Malawi) na Red Arrows ya Zambia.

Kuwepo kwa mashindano haya na kwa mujibu wa kalenda ya CAF, hakutakuwepo na michuano ya CECAFA kwa timu za taifa ( CECAFA Senior Challenge Cup) ambayo awali ilipangwa kufanyika Juni 29 hadi Julai 14.
 
Tsh 31000= ksh 1550, wakati madaraka express inazinduliwa ilikuwa 1000. Utanielewa once traders ditch it.
Madaraka from Nairobi to Mombasa 6 hrs
Mombasa to Nairobi kwa bus 7 hrs

Huku dar to dodoma SGR 3hrs
Dar to dodoma kwa bus 8 hrs

Toa kinyeo kichwani kirudishe sehemu yake alaf nijibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwetu Sisi ni bei ya kawaida inatosha
 
Back
Top Bottom