President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,536
- 94,021
Tunarudi kwenye mambo yetu yale ya kula bata. Tunaeleke Mbezi Beach tunatua Kidimbwi Beach
Dar es salaam
Dar es salaam
Suala la vibaka uchokoraa hawawezi kukataa, wanafahamu, yani wenyeji wenyewe wanakuambia kua makini.WAVUVI CAMP Coco Beach Dar es salaam. Nchi ya Amani watu wanajiachia kwa raha zao. Huko Nairobi machokoraa kila kona.
View attachment 3013925
View attachment 3013927
Hiyo statement yako ndio fire fighting engine?Mzee Shinyanga ni miji iliyoendelea miaka mingi sana.
The only place kwenye Diamond mining.
Mnajidanganya, Tanzania the footballing nation 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿Talanta Stadium, The venue for AFCON 2027 Finals. Great progress.
![]()
![]()
![]()
![]()
Mtapigwa na kitu jua kali kama expressway na sgr kwani mnajua quality nyie wazee wa kitu kidogo.Talanta Stadium, The venue for AFCON 2027 Finals. Great progress.
![]()
![]()
![]()
![]()
Naona denial and anger stage zilipita, sahizi muko kwa bargaining stage. Next ni depression alafu tufunge na acceptance.Mtapigwa na kitu jua kali kama expressway na sgr kwani mnajua quality nyie wazee wa kitu kidogo.