Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Yule papai wa coast yuko wapi!
View: https://x.com/tanfootball/status/1800076991971971308?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Haya ni mambo ambayo Talanta stadium itasawazisha, tulia utaoana.
Yule papai wa coast yuko wapi!
View: https://x.com/tanfootball/status/1800076991971971308?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Umeona sasa mzee. Baada ya muda na wewe utaanza kuwapiga zaidi ya niwapigavyo.Ila nyie mna ubishi wa kishamba sana, kama Tanzania kuna G Wagon 63, Kuna watu wana aston martin, ferrari n.k what's so special about maybach?
Kama iko, post the side view tucheke. 🤣 🤣Acheni ujinga wa kitoto Mercedes Maybach S450 ipo na for your information all Maybach are S class or based on S class frame.
![]()
Mercedes-Maybach S450 4MATIC Collector's Edition Unveiled For China | Carscoops
The Mercedes-Maybach S450 4MATIC Collector's Edition is all about luxurywww.carscoops.com
Yaani leo wewe dada ulinyoa mwanaume clean!, hapo sawa 😀 😀 😀 😀 😀 😀Wacha nikuache. Yani mimi nimeelezwa tofauti ya Maybach leo hapa kwenye hii thread na nishaajua kutofautisha, wewe gwiji la Bongo bado hujaelewa kitu. Nahurumia mwalimu wako shuleni. 🤣 🤣 🤣
Itasawazisha ama itanyamazisha? 🤣 🤣Haya ni mambo ambayo Talanta stadium itasawazisha, tulia utaoana.
Nakwambia siku hiyo hapa ndani watakimbia 😅😅😅😄Itasawazisha ama itanyamazisha? 🤣 🤣
Naiona Probox kwa karibu.
Michezo ya watoto U17 unatuchosha.
Unatuchosha
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 JKIA Naitunza hiiRepairing JKIA roof...
View attachment 3013786