Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm namilikia Benz na BMw so ni Aina ya gari kama hzo so huwez nidanganya anything kuhusu magari ikiwa mm namiliki alaf nibishane na MTU Hana hata baiskeli ya kusingiziwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maybe unamiliki Mercedes Benz W123😂😂
 
KAF at 60 😎
IMG_20240610_163004.jpg
IMG_20240608_193231.jpg

IMG_20240610_163417.jpg
 
Hehehe unataka kufanana na mm au?? Unaweza lakini ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi sio mkimbizi and I also know where my ancestors were buried. So hatuezifanana.

Hivi ushajifunza kuhusu magari ama bado uko clueless kama Kibanda Gang aka Sama boy 255 ?
 
Haya ni mambo ambayo Talanta stadium itasawazisha, tulia utaoana.
Talanta ndiyo itafanya Klabu za Kenya zifanye vzr Africa? Talanta ndiyo itaipeleka national team yenu Afcon? Talanta ndiyo italeta wachezaji wakubwa kutoka mataifa mbalimbali kuja kucheza ligi yenu? Mana umejibu kama ng'ombe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Footballing nation with footballing losses in all matches they have played😂😂.
Nina furaha timu yangu ya Yanga imepata mialiko sehemu mbalimbali ikiwemo South Africa, Ulaya na Kenya, kuja kuzindua uwanja wenu kituko mnao renovate kila siku wa kisumu, sasa hiyo game ndiyo utajua kwa sasa Tanzania iko wapi kisoka, tutakuja huko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wewe watchman unajua nini kuhusu soccer?
 
Back
Top Bottom