Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe mbwa ni infrastructure gani unaeza taja yenye mnatuzidi.? Au ni hicho ki express way kimoja kinakufanya uone kama ni kumi.? 🀣🀣🀣
Wataka battle ama unatest mitambo, sio nyinyi munaosema tunajenga interchanges ambazo haziitajiki πŸ˜…πŸ˜…
 
Wataka battle ama unatest mitambo, sio nyinyi munaosema tunajenga interchanges ambazo haziitajiki πŸ˜…πŸ˜…
Infrastructure kwako si ni interchange tu mpuuzi wewe. 🀣🀣🀣 how many km of railways you have.?
 
Kwa mana nyingine ni kwamba tutakua tukipokea 500 million dollars every year, while nyinyi ili mpate tena mkopo itabidi mwakani Ruto apande tena ndege aende akapeleke bakuli. 🀣🀣🀣 then aishie tena kupewa mchele awaletee nyie walemavu wa Ukanda huu 🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣😁😁😁😁 Mchele wa Korea utakuja kumtengua Ruto mgongo au kiuno sababu sio kwa route hizo 😁
 
Kutoka kwa sisi tunatumia pesa za ndani..
Mpaka kujiringisha na mkopo wa $2.5b utakao achiliwa kwa miaka 5.
Hio ni sawa na $500m kila mwaka

Wakati ruto mwaka jana kachukua $1bn na 2024 amechukua deals mbili zenye thamani ya $800m

Hawa kumbe huwa wanatamani Kukopa sema wanakaushwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani unafikiri miradi tunayofanya tunalipa cost zote upfront, tunalipa kadri certificates zinavyokuja in installments we kilaza wa Ruto
 
Thriving wapi ??

Hotel yenyewe ni moja tu sunset hotel! Hata beach hakuna. Au unafikiri Kisumu hatuijui???

Show me beach in kisumu please!!
You know nothing about Kisumu.

Beaches in Kisumu.

1. Bingo Beach

1717604658114.jpeg

1717604908490.jpeg


Locco Beach Kisumu
1717605148147.jpeg

1717605173030.jpeg

1717605264086-jpeg.3009608
 

Attachments

  • 1717605264086.jpeg
    1717605264086.jpeg
    541.9 KB · Views: 23
Ruto kweli bingwa,πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
kaondoka na investment worth (485+238)= $723m
Sio mkopo bali investment ambazo zitakwenda kwenye mradi wa Konza technopolis na sector Kama ICT

Isitoshe Ruto kaondoka na Mpunga wa bureπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwanini Ruto anaenda kukopa pesa kuwekeza kwenye mradi binafsi wa mzungu beberu Pell Frischmann au Ruto usher wake?

Screenshot_20240605-194004.jpg
 
Ruto akipokelewa huko South Korea πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡View attachment 3009556View attachment 3009557🀣🀣🀣 Don YF. mwaiofhawaii. Hapo vipi.? Heshima ya nchi yenu ni duni huko Korea. Imagine umeenda huko korea wewe ni foreigner to host your fellow foreigner and calling it a state visit. 🀣🀣🀣 Jockers .. Mama alivyopokelewa huko Korea πŸ‘‡
View: https://www.instagram.com/reel/C7tMMxttH1u/?igsh=MWh0Mzg0bDlkZ3o5YQ==

Kwani huyu Ruto ni mgonjwa?
 
Maneno ya mkosaji,
Mjadala umehama kutoka kwa tumepata mkopo mkubwa Korea mpaka mmetushinda kwa mkopo ila mmeutumia vibaya.
Uswazistan ni Nchi ya kuongelea infrastructure mbele ya Kenya kweli?? Kama hutaki kukimbia uzi achana na huu mjadala πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mna km ngapi za electric SGR inayosupport bullet trains?
 
No Kenyan wants to be associated with LDC. Tanzania inajulikana Kenya kama nchi ya uzembe, umaskini, ujinga na uchawi.

I doubt if my pig can even accept to be relocated to Tanzania.
Umejibu kwa uchungu mkubwa, pole ila hiyo yote ni mipango ya Mungu, usilazimishe tufanane, nchi yetu ni blessed yenu ni cursed, again pole sana kama nimekukwaza🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom