Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
Kisumu park, very good place to chill n relax
Sasa mbona huko unyang’auni ‘flying toilets’ zimezagaa?🙂
😂😂🤣Kunyamavi mdomoni na uhalisia tofauti
Kaulize upumbavu wako hilo swali si mimi.. Umeona flying toilets wapi huku kama si kuambiwaSasa mbona huko unyang’auni ‘flying toilets’ zimezagaa?
Hawa vilaza hawana aibu,hali ya naikundu kama ndo dar ingekua vile huu uzi ungenipitia mbali sana
Kama walivyofanya ktk uwanja wao wa Talanta 🤣🤣🤣Huko kwao mkandarasi kakabidhiwa site, kafanya clearance then kaanza kuchimbua chimbua siku hiyo hiyo. 🤣🤣🤣
Mbona unakasirika, hupendi kusikia ukweli sio?🙂Kaulize upumbavu wako hilo swali si mimi.. Umeona flying toilets wapi huku kama si kuambiwa