Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fool Cruise terminal is different from marina! Ur render shows u rbuilding cruise terminal n not marina!
Mr Geuzwa, cruise ships hakuna L.Victoria na kwahivyo sio target market. The main target is medium and small luxury speed boats.
 
Huo mkopo wa 2.5b uswazistan itapewa kwa miaka 5
😂😂😂😂😂😂😂😂
Sama boy 255

View attachment 3009528
Kwa mana nyingine ni kwamba tutakua tukipokea 500 million dollars every year, while nyinyi ili mpate tena mkopo itabidi mwakani Ruto apande tena ndege aende akapeleke bakuli. 🤣🤣🤣 then aishie tena kupewa mchele awaletee nyie walemavu wa Ukanda huu 🤣🤣
 
Kwa mana nyingine ni kwamba tutakua tukipokea 500 million dollars every year, while nyinyi ili mpate tena mkopo itabidi mwakani Ruto apande tena ndege aende akapeleke bakuli. 🤣🤣🤣 then aishie tena kupewa mchele awaletee nyie walemavu wa Uganda huu 🤣🤣
Hizi hutaki 🙌😅😅😅👇

Post in thread 'Battle: Dar es Salaam vs Nairobi' Battle: Dar es Salaam vs NairobiPicsart_24-06-05_17-35-49-115.jpg
 
Kutoka kwa sisi tunatumia pesa za ndani..
Mpaka kujiringisha na mkopo wa $2.5b utakao achiliwa kwa miaka 5.
Hio ni sawa na $500m kila mwaka

Wakati ruto mwaka jana kachukua $1bn na 2024 amechukua deals mbili zenye thamani ya $800m

Hawa kumbe huwa wanatamani Kukopa sema wanakaushwa
😂😂😂😂😂😂
 
Toa upuuzi wako hapa elimu ndogo inataka kuelimisha elimu kubwa. Floods ni floods na landslide ni landslide sisi tunaongelea mafuriko barabarani kwaajili ya kukosa drainage system wewe una leta landslide unaakili kweli wewe au unajifurahisha ili tufanane?
Sifanani na mburukenge haelewi chochote
 
Ruto kweli bingwa,😃😃
kaondoka na investment worth (485+238)= $723m
Sio mkopo bali investment ambazo zitakwenda kwenye mradi wa Konza technopolis na sector Kama ICT

Isitoshe Ruto kaondoka na Mpunga wa bure😅😅😅
 
😁😁😁 Halafu hizo 2.5b ni real sio kama zile za maruhani za Biden 😂😂 anakusainisha milima ya makaratasi just for PR anakudanganya ni multi-billion deals kumbe ni memorandum of understandings 🤣
Soma hio condition yake👇🙌😂😂😂
Picsart_24-06-05_17-51-17-487.jpg
 
From, hela za ndani to we were given bigger loan than you 🤣🤣 maajabu!
 
Back
Top Bottom