Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani huyu jamaa ni mgonjwa?
View attachment 3009610
Kama ni Mgonjwa tutajua tu.. Kenya si Uswazistan where serikali releases fake official statement about the President’s health …. Ati ako mzima working hard for the people whereas the truth, in his deathbed preparing to be flown to Nairobi Hospital…😁😁
 
Unawatonesha kidonda 😂😂😂😂😂
 
Kwann SASA umeficha date and year 😂😂😂

Ok let assume unadanganya so imekusaidia kushiba huo uongo 😂😂😂😂😂

Hvi kwann bado munakua wajinga Sana kwenye dunia hii imejaa utandawazi

Haya cheka tena vzr 😅😅😅😅😅😅😅😅
View attachment 3009576
Kunyan kwa elimu yake ndogo alificha tarehe na mwaka ili apate kujifariji wakati ukweli anaujua 😀
 
😂😂😂

1717612585778.jpg
 
Kunyan kwa elimu yake ndogo alificha tarehe na mwaka ili apate kujifariji wakati ukweli anaujua 😀
Wakenya ni wapumbavu sana mkuu, elimu yao inawajenga kutokuwa wastaarabu na kutoelimika, mkenya yupo ladhi aongope ili ajifariji alafu wakenya wenzie watasapoti. Humu ndani mtanzania ukiongopa utakuta mtanzania mwenzio anakusahihisha au mwengine anakucharua ila hawa wasenge hawapo hivyo, wanasapotiana ufala.
 
Sio mbaya mana tayari tumeshafika over 80% ya lengo, hakuna taasisi tutaiomba mkopo wa kumalizia reli yetu ikakataa mana tayari ishaonesha uelekeo. Hapo tunachukua mkopo kuunganisha reli yetu na nchi zingine jirani ili izidi kuwa economically viable unlike yours haina uelekeo, no one can even dare to fund your diesel SGR.

FYI, Tanzania electrified SGR is the longest in the continent, hilo uelewe au ufe nalo na haitabadilika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Makuzi ya kwenye za mabati yamewafanya wasijiamini ndio maana wako tayari wadanganye ili tu wapate kujifariji while wanajua kabisa si kweli
 
Wapumbavu hawa tunawafariji tu humu, tumewazidi kila kitu, tunafanya miradi mikubwa ya maana na ambayo itasaidia ku transform uchumi usiwe wa karatasi, yani ukisikia Tanzania kuna miradi ambayo inapatikana ulaya, Amerika na China basi iwe hivyo hata kwenye mifuko ya wananchi, na sio kuongopa na vighorofa viwili vitatu CBD alafu wananchi wanakufa njaa, nchi nyingi za kiafrika zipo hivyo, uongo uongo tu.
 
Sio mbaya mana tayari tumeshafika over 80% ya lengo, hakuna taasisi tutaiomba mkopo wa kumalizia reli yetu ikakataa mana tayari ishaonesha uelekeo. Hapo tunachukua mkopo kuunganisha reli yetu na nchi zingine jirani ili izidi kuwa economically viable unlike yours haina uelekeo, no one can even dare to fund your diesel SGR.

FYI, Tanzania electrified SGR is the longest in the continent, hilo uelewe au ufe nalo na haitabadilika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio mbaya mana tayari tumeshafika over 80% ya lengo, hakuna taasisi tutaiomba mkopo wa kumalizia reli yetu ikakataa mana tayari ishaonesha uelekeo. Hapo tunachukua mkopo kuunganisha reli yetu na nchi zingine jirani ili izidi kuwa economically viable unlike yours haina uelekeo, no one can even dare to fund your diesel SGR.

FYI, Tanzania electrified SGR is the longest in the continent, hilo uelewe au ufe nalo na haitabadilika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mnuka mavi. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom