Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwann SASA umeficha date and year πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ok let assume unadanganya so imekusaidia kushiba huo uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hvi kwann bado munakua wajinga Sana kwenye dunia hii imejaa utandawazi

Haya cheka tena vzr πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Screenshots_2024-06-05-18-53-52.png
 
Huo mkopo wa 2.5b uswazistan itapewa kwa miaka 5
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sama boy 255

View attachment 3009528
Sio shida muhimu ni soft loan yenye riba 0.1% ambayo inalipwa over 40yrs kwetu sio Tatizo kabisa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwann SASA umeficha date and year πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ok let assume unadanganya so imekusaidia kushiba huo uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hvi kwann bado munakua wajinga Sana kwenye dunia hii imejaa utandawazi

Haya cheka tena vzr πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
View attachment 3009576
Hii pesa hawakupewa, na juzi waliomba ku review hiyo agreement πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
Screenshot_20240605_182306_Chrome.jpg
 
Kutoka kwa sisi tunatumia pesa za ndani..
Mpaka kujiringisha na mkopo wa $2.5b utakao achiliwa kwa miaka 5.
Hio ni sawa na $500m kila mwaka

Wakati ruto mwaka jana kachukua $1bn na 2024 amechukua deals mbili zenye thamani ya $800m

Hawa kumbe huwa wanatamani Kukopa sema wanakaushwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuoneshe link ruto kachukua 1b USD from South Korea 2024 nasubiria kuona mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Eti USA ya Africa inapokea msaada wa mchele what a shame πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Screenshots_2024-06-05-18-53-52.png
 
Kwann SASA umeficha date and year πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ok let assume unadanganya so imekusaidia kushiba huo uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hvi kwann bado munakua wajinga Sana kwenye dunia hii imejaa utandawazi

Haya cheka tena vzr πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
&View attachment 3009576
Kijana mbona unapenda kudandia mijadala usiojua yalipoanzia.
Kwahivyo wewe ulidhania huo ni mkopo wa mwaka huu??
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tuoneshe link ruto kachukua 1b USD from South Korea 2024 nasubiria kuona mm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Eti USA ya Africa inapokea msaada wa mchele what a shame πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3009580
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kijana mbona unapenda kudandia mijadala usiojua yalipoanzia.
Kwahivyo wewe ulidhania huo ni mkopo wa mwaka huu??
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Fala wewe walikuzawadia ukiwa kibera au ulienda kuomba kule kwao. Alafu hiyo wala siyo story Kenya na food donations, ila ingekuwa story kama ingekuwa Tanzania kaifuata hiyo food donation, kila mnapoenda mna expose ufukara wenu, kule Doha mkaomba mpk vibanda aloo, Wakenya msalieni Mtume wallahi 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
😁😁😁😁 Walikasirika kichizi walivyokosa vibanda vya Qatar mpaka wakaomba ile earthquake iliotokea Turkey ingetokea kundustan yaani hawa mafukara ni aibu kwa Africa
 
Ukichunguza unagundua hawa wote ni mafukara πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£
View attachment 3009435
Kenya michezo hailipi kabisa, juzi kati kafa mwanamichezo wao mashuhuri kuja kuangalia hana hata nyumba, so sad😒 😒 🀣🀣🀣🀣🀣
Leo watchman anaita watu wafukara? The world is indeed ending πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi pesa zote mlilipia mishahara na kustabilize shillings against dollar mpaka saivi mkiambiwa muoneshe mlichofanyia kwa ground hamna ndio maana mna triple deni letu zaidi yetu na hampo hata robo ya infrastructural advancement tulio nayo! Na bado mnahangaika na misaada ya mchele
Maneno ya mkosaji,
Mjadala umehama kutoka kwa tumepata mkopo mkubwa Korea mpaka mmetushinda kwa mkopo ila mmeutumia vibaya.
Uswazistan ni Nchi ya kuongelea infrastructure mbele ya Kenya kweli?? Kama hutaki kukimbia uzi achana na huu mjadala πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe mbwa ni infrastructure gani unaeza taja yenye mnatuzidi.? Au ni hicho ki express way kimoja kinakufanya uone kama ni kumi.? 🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom