Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaijua loss ya kupark dreamliner kwa miezi nane Malaysia??
Ama loss ya kwenda na 787-8 dreamliner south Korea kwa siku 5.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ruto kaenda kusaga 200m ksh kukodi ndege kutoka Dubai, si Bora hio pesa angewapa kq akakuza biashara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani akili haiwezi kukaa kwenye makalio
 
Floods and landslides are somehow related they're like families.. Whenever there's floods due to heavy rainfall and the place is on a low land expect the raised land saturated soil to come down on you.. If the land above is exhausted expect the soft soil coming down the low lands... Mtafunzwa hadi lini??
Toa upuuzi wako hapa elimu ndogo inataka kuelimisha elimu kubwa. Floods ni floods na landslide ni landslide sisi tunaongelea mafuriko barabarani kwaajili ya kukosa drainage system wewe una leta landslide unaakili kweli wewe au unajifurahisha ili tufanane?
 
Naislum bila filters and angles ipo kama Bungoma

20240605_094825.jpg
20240605_094823.jpg
20240605_094812.jpg
20240605_094807.jpg
20240605_094757.jpg
20240605_094721.jpg
 
Ok ime kua ground kwa miezi 8 Kwan ndege zinamilikiwa na Nani??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya subiri loss ya hzo ndege mbili zenu zilizokua grounded ambazo sio zenu uone loss ya mwaka huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tanzania haina cha kupoteza kwasababu ndege ni zake, nyinyi munavyo chakupoteza kwasababu ndege sio zenu na ni lazma mulipe pesa kwa wenye ndege every month mufanye kazi au musifanye KAZI na moja ya sababu ya loss kubwa kq ni ndege za kukodi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kama kwenda south Korea kwa Siku 5 ACTL imekula hasara ya millioni ksh 80 or tsh 160,
-je jiulize hasara ya kuegesha dreamliner kwa miezi 8(parking fee)
-Gharama ya loss in revenue
, miezi 8 ndege haijabeba hata mtu mmoja
-Gharama za kununua engine mpya kutoka rolls royce
-Gharama ya kuwalipa mafundi
Mtamlaumu bure CAG
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom