Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kenya mmekuwa treated as equal partners. Mmepeana sh ngapi.? 🤣🤣🤣 kwahiyo kwako kitu muhimu ni idadi ya watu kwenye kikao.? Na si deals zenye mmesaini.? Wewe ni zezeta tu.. kweli nimeamini ule msemo unaosema "hata wapumbavu wanazeeka" you are one of them bro ..Mipango ya kimkakati, nyie taifa limeuzwa, sasa ni propaganda sijui nini wala nini.., kwa sasa hamna lenyu..., mmedharauliwa sana, not treated as equal partners but omba omba, kuna kitu wamemega tayari hawa waKorea.., minyani nyie hehehehe