Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi hamna building project yoyote ya maana inafanyika Tanzania😂😂
Ufukara nikama kikohozi, haifichiki, ni mda tu unaona matokeo inajidhihirisha in many sectors.., midomo tu.
 
Wakenya wanahaha kweli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.
1717587659138.png
 
Ufukara nikama kikohozi, haifichiki, ni mda tu unaona matokeo inajidhihirisha in many sectors.., midomo tu.
Hao wanatafuta projects kwa torch wakati Nairobi construction is going on everywhere.
 
Tuendelee kuwapiga pini au tuache?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024
1717587735021.png
 
Nyinyi hamna building project yoyote ya maana inafanyika Tanzania😂😂
building Kama hzo zipo hapa ilala zinajengwa kila Kona ya mtaa 😂😂😂😂

Achilia mbali kariakoo Huko hata sigusi kabisa
 
Ruto ameenda Korea kuombe mchele? 🤣 🤣 🤣 🤣

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mfanyakazi wa Ndege kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Sang bin Jeon aliyekuwa akielezea kuhusu sehemu mbalimbali za Ndege aina ya Airbus A300-600R
1717587860534.png
 
Hao wanatafuta projects kwa torch wakati Nairobi construction is going on everywhere.
Nilishawaambia kazi yao nilimaliza, the reason lately am not into their arguments, I know Tz in out, they like putting themselves where they are not, wishful thinkers.,
 
Your president though, 😀 😀 na waalimu wa filamu hehehehe
Mama anajiligia kampeni pia kwa hiyo usishang'ae ni mjanja anajichomeka chomeka! Alishaahidi kwenda nao yeye mwenyewe.
 
Am gonna frame this photo … it deserves a place for future generations…🤣🤣🤣🤣
View attachment 3009370
Hapa Ruto anaomba mchele ili wakenya wapate mlo 🤣🤣🤣 Ruto ni aibu ya Africa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, tarehe 2 Juni, 2024.

1717588208184.png
 
Back
Top Bottom