Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani huu uwanja haujakamilika yet ushaashinda stadium zote bongolala kasoro mbili kwa ubora. 🤣 🤣 🤣
This one
Screenshot_2024-06-01-14-14-35-56_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg.jpg

Vs
This one 🤣🤣🤣🤣
1716062115730.jpeg
 
I really don't understand, mzee aliwekeza hapo bandarini sana ukizingatia na sera yake ya viwanda, alikua anafanyia kazi miundombinu ya bandari zote plus bandari kavu na alikua muda wote amewaweka karibu nchi zote zinazoitegemea Dar port, hakukua na ujinga na bandari ilikua inaendesheka bila shida.

Sasa Hapo now serikali inatoa toa tu kitu kilichokamilika kwa pesa za ndani si ujuha huu?

Mwendokasi taabu
Shilling taabu
Miradi inasuasua

Ila mambo ya kijinga ndio yanakula hela.
Maza anaupiga mwingi
 
Yaani wewe unaona Kenya inaweza taka kufanana na Tanzania!? An LDC!?
Hamna electrified SGR, hamna cable stayed bridge, hamna BRT, hamna any CAF and FIFA approved facility, hamna EMU, hamna chakula, hamna big truck assembly plant like us, hamna akili, hamna ustaarabu, mnawezaje kuwa sawa na Tanzania?
 
I really don't understand, mzee aliwekeza hapo bandarini sana ukizingatia na sera yake ya viwanda, alikua anafanyia kazi miundombinu ya bandari zote plus bandari kavu na alikua muda wote amewaweka karibu nchi zote zinazoitegemea Dar port, hakukua na ujinga na bandari ilikua inaendesheka bila shida.

Sasa Hapo now serikali inatoa toa tu kitu kilichokamilika kwa pesa za ndani si ujuha huu?

Mwendokasi taabu
Shilling taabu
Miradi inasuasua

Ila mambo ya kijinga ndio yanakula hela.
Tutakuja kuwalipa pesa nyingi sana kuvunja mkataba akija rais mzalendo Geza Ulole nini maoni yako hapa.
 
Hamna electrified SGR, hamna cable stayed bridge, hamna BRT, hamna any CAF and FIFA approved facility, hamna EMU, hamna chakula, hamna big truck assembly plant like us, hamna akili, hamna ustaarabu, mnawezaje kuwa sawa na Tanzania?
Hatuna 28 million people living in extreme poverty
 
Hii habari naona vyombo vingi vya habari vimeshindwa kuifanyia coverage ya kueleweka..au labda ni source ya habari imeamua kufanya makusudi.

Wanasema Adani kachukua gati namba 2 hapo TPA... Hapo hapo tunajua DP kachukua gati namba 0 hadi 7!

Maana yake ni kwamba Adani kachukua TPA II... Sio gati namba 2...hivyo ni kwamba Adani kachukua nafasi ya TICtS!.. TICTS ilipovunjiwa mkataba lile eneo Lao ndio walilipa jina la TPA 2...so,TICTS imekufa.. Kazaliwa Adani.
 
Back
Top Bottom