The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Huwa najiuliza hilo nundu la nini na sipati jibu, hili dege la mkoloni kama wataendelea kulitumia ipo siku.........Ndege yenu Inachekesha kweli, sasa hii nundu ni ya nini? Ndio maana ilipigwa marufuku kwenye anga la marekani mpaka ikabidi muombe msaada Uarabuni 😁😁😁
View attachment 3005418