Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuna 28 million people living in extreme poverty
But ni worse than Zimbabwe, karne hii nchi mnaomba chakula kweli? Na bado mnamiliki ma slums makubwa makubwa duniani, kibera alone ina accomodate more than 2.5 mil slum dwellers na bado uko hapa unabishana na mtanzania, can you imagine 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Bongolala mbona unaichukulia Zimbabwe poa ama umelishwa propaganda za CNN. Zimbabwe is richer than uswazistan...
😅😅😅
 
Dar es Salaam
IMG-20240519-WA0000.jpg
 
Kama hujui kitu nyamaza Zimbwabwe huwa tunawapelekea misaada wao pamoja na malawi.(madawa na chakula)
Ulidhan hata Roma kuimba "zimbwabwe ilikuwa bahati mbaya"??
Misaada inapelekwa kwenye majanga hio ndo kazi yake,
GDP per capita ya zimbabwe ndio hii, yenu ipo hapo juu.
Mmelishwa propaganda za CNN

....
IMG_20240601_230509.JPG
 
Hapa kuna nn?? Akili ndogo sana ww.
Arusha vitu vya kawaida hv.
You guys never cease to amaze..😁…. Mnaleta streets za Dar with no markings or street parking… instead of defending that photo itself… unaluka mpaka Arusha to console yourself… 🤣🤣🤣… Now I want to see this Arusha also…leta tucheke..🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom