Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njombe is way better than Konza Slum 😁😁👇👇
1703562670793.jpg
1707750910456.jpg
1710466942709.jpg
1717072493656.png
20240520_204244.jpg
20240126_070709.jpg
20240126_070712.jpg
20240126_070716.jpg
 
Ndio matatizo ya Vyombo vya usalama kuzembea kujibu inshu zikianza kuharibu usalama wa Raia.

Panya roads wanasema eti watoto, mara haki za binadamu wakati wanakua na kua watu wazima? Ni kuwatia adabu kabisa hata kama ni watoto mizizi inakatwa.

Kuna ile ya Yakuza Mob, asee operations ilipita Dar ikawa shwari, wasichekee hao ni muda sasa kusafisha imagine AFCON tuanze kutukwanwa kisa wakora kukwapua vitu?

Wana taarifa kua Mkapa Stadium ipo Temeke tukutu ambayo mostly panya roads wanatokea ila Mechi zinapigwa hafi saa tano usiku na hakitokei kitu, simple tu ukileta ujinga ishu kubwa, wallah utajuta.

Ndio maana amani ipo Bongo, ukibip tunakupigia.
Bongo kwenye kudeal na hawa vinyago na wahalifu wengine wa ndani tupo njema, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wapo vizuri sana, matukio ya nadra hayakosi lakini sio kujitwalia mamlaka kama Kunyaland
 
Back
Top Bottom