Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Downtown Nairobi
Screenshot_2024-06-01-11-48-32-76_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-06-01-11-45-06-96_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Naislum sio salama wakora kila kona

View: https://vm.tiktok.com/ZMrJJpe6Y/

Ndio matatizo ya Vyombo vya usalama kuzembea kujibu inshu zikianza kuharibu usalama wa Raia.

Panya roads wanasema eti watoto, mara haki za binadamu wakati wanakua na kua watu wazima? Ni kuwatia adabu kabisa hata kama ni watoto mizizi inakatwa.

Kuna ile ya Yakuza Mob, asee operations ilipita Dar ikawa shwari, wasichekee hao ni muda sasa kusafisha imagine AFCON tuanze kutukwanwa kisa wakora kukwapua vitu?

Wana taarifa kua Mkapa Stadium ipo Temeke tukutu ambayo mostly panya roads wanatokea ila Mechi zinapigwa hafi saa tano usiku na hakitokei kitu, simple tu ukileta ujinga ishu kubwa, wallah utajuta.

Ndio maana amani ipo Bongo, ukibip tunakupigia.
 
Naomba kuuliza. Why wanasaini kwa miaka 30?
I really don't understand, mzee aliwekeza hapo bandarini sana ukizingatia na sera yake ya viwanda, alikua anafanyia kazi miundombinu ya bandari zote plus bandari kavu na alikua muda wote amewaweka karibu nchi zote zinazoitegemea Dar port, hakukua na ujinga na bandari ilikua inaendesheka bila shida.

Sasa Hapo now serikali inatoa toa tu kitu kilichokamilika kwa pesa za ndani si ujuha huu?

Mwendokasi taabu
Shilling taabu
Miradi inasuasua

Ila mambo ya kijinga ndio yanakula hela.
 
Wale wazushi wa DP World amekataza wawekezaji wengine waliishia wapi? 😁😁👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C7qxd0Toq-c/?igsh=MXg3OWNyanplNDFkdg==

Huu nao ujuha, we fala amka dunia ya sasa ambayo resources zinadidimia ni muhimu nchi ikawa na resources ambazo ina full control zinazosaidia uchumi. Usituletee mifano ya nchi nyingine, maana nazo zinakua na kitu kinachoshikiliwa.

Haya ndio matokeo ya shilling kuboroga ni kukosa kitu kikuu kinachostabilize uchumi ambacho serikali ina control, Dhahabu tungekua na mkakati nayo toka 2000s unadhani tungekua na matatizo ya shiling kuporomoka?

Why ni mgawe bandari?
 
Bandari inadidimia? 😂😂😂😂

Kwa hiyo Nchi zote zilizoendelea waliowapa private operators wamedidimia? Wacha upumbavu wewe ubinafsishaji inalenga kuongeza ufanisi na kukomesha Bandari kuwa mashamba ya bibi Kwa wenye vyeo
 
Utawaona wanapost Kiira Motors, Ethiopian Airlines, Luanda City, China Cities n.k wakijipiga vifua Hadi unashangaa. Uzi ni WA Kenya na Tanzania, hizi nchi zingine zinahusikana aje? 😂😂
Jana niliona mmoja wao akishangilia baada ya Boeng kuchagua Addis Ababa as its African headquarters, pipping Nairobi which was it's main challenger. Yani anafurahi wakati Dar didn't even come close to being one of the potential host cities
 
Ni kama vile huwa wanabishana humu kati ya Army ya USA na Russia Gani kali. Sasa wanatufananisha na nchi zengine juu wao hawako.😂
 
Back
Top Bottom