Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Ghorofa zenyewe urefu ni kama hizi za Nairobi ambazo hata haijulikani kama zipoCBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣 🤣
![]()
Ghorofa zenyewe urefu ni kama hizi za Nairobi ambazo hata haijulikani kama zipoCBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣 🤣 🤣
![]()
Hapa hakuna battle, we should switch to Mombasa vs Dar slumGhorofa zenyewe urefu ni kama hizi za Nairobi ambazo hata haijulikani kama zipo
View attachment 3006137
Haya fananisha uwanja Una 40yrs Vs huo mnaojenga hvi SASA alaf unipe majibu 😂😂
KibearaMaana ya uswazi ni nini? Mitaa yenu mnaojivunia haina Lami. Nairobi huwezi pata mtaa wa middle class kuenda juu kama hauna lami.
Kwa vile Nairobi imeshindwa hya changanya na Mombasa iwasaidie 😂😂😂Hapa hakuna battle, we should switch to Mombasa vs Dar slum
Wacha ujinga bongolala. Nyayo stadium is 41 years old but is a million times better kushinda hili gofuHaya fananisha uwanja Una 40yrs Vs huo mnaojenga hvi SASA alaf unipe majibu 😂😂
Nyinyi akili zenu mbovu kwenye kila Jambo always fake life
View attachment 3006138
Wacha ujinga bongolala. Nyayo stadium is 41 years old but is a million times better kushinda hili gofu
Nyayo so far ishafanyiwa renovation ngap katika hio 41 yrs??😂😂😂😂😂 Na yet haina hata CAF standard mpaka Kesho, CCM kirumba haijawah kufanyiwa any renovation lakini ina afadhali kuliko huo upuuzi wenuWacha ujinga bongolala. Nyayo stadium is 41 years old but is a million times better kushinda hili gofu
Hiyo yenye haina CAF standard will host CHAN tournament later this year, kitu ambacho itabaki kuwa ndito kwa lile gofu la mwanzaNyayo so far ishafanyiwa renovation ngap katika hio 41 yrs??😂😂😂😂😂 Na yet haina hata CAF standard mpaka Kesho
Kibera Kuna lami.Kibeara
A dual carriage road infact.Kibera Kuna lami.
India. But in real Sense utapata ni bakresa or mwanasiasa nyuma ya pazia.Kampuni ya India kuendesha gati kwa miaka 30 ....
View attachment 3006125
Nani kawazuia kufanya renovation, CAF 😅😅😅😅Nyayo so far ishafanyiwa renovation ngap katika hio 41 yrs??😂😂😂😂😂 Na yet haina hata CAF standard mpaka Kesho, CCM kirumba haijawah kufanyiwa any renovation lakini ina afadhali kuliko huo upuuzi wenu
Mibongolala yamekata tamaa..India. But in real Sense utapata ni bakresa or mwanasiasa nyuma ya pazia.
Kibera ni kama New York, ha ha ha nyang’au wapuuzi sana.😎😎Kibera Kuna lami.
Kibera Kuna lami bongolala. Kuna hadi dual carriageway in KiberaKibeara
Lami ila horrible life ,Kibera Kuna lami bongolala. Kuna hadi dual carriageway in Kibera
Sasa umekubali lami iko?🤣🤣🤣🤣Lami ila horrible life ,