Hii haina tofauti na SGR kenya hata coaches zake ni same model na Kenyan coaches. Speed ya cargo ni 110kph more than Kenyan SGR at 80kph.
Ni lazma muende au muju Tanzania hakuna ujanja mwengine 🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/JoelOmotto/status/1791090162329419917?t=3CCOMW4oQMMmeCRvc4Kvdw&s=19
No future in Kenya, don't lie to yourself.The same way they made noise when they revived ATCL. Ungedhani wameiteka usafiri wa anga ya Dunia. Leo hii ATCL inatengeneza hasara, ndege zake zinashikwa, zingine zimepaki kwenye maeneo ya matengenezo kwa mieze minane huku pia wakisuspend baadhi ya routes za kigeni. Haya yote ni ndani ya chini ya miaka mitano.
What they don't realize is, hizi biashara it's about the numbers. So far, tunawezasema sgr yetu kwa aina Fulani is making progress coz there are numbers and these numbers are only pointing to a brighter future.
Ningewashauri waache hizi kelele zao za sgr tusibiri ianze kazi rasmi Kisha waje hapa we compare notes
Remember also ATCL has never made any profit tangu ianzishwe😂😂😂
Assembling plant ya sinotruck uliiona ikijengwa? Kwnn hamjifunzi kuhusu Tanzania nyie mbwa?Ingekuwa inajengwa picha zingejaa hapa lukuki
So, miaka yote mmekosa approved stadia kwa sababu mmekuwa mkifanya renovation? Mbona Mkapa stadium unafanyiwa renovation na hakuna siku umesikia timu ya Tanzania inaenda nje kucheza mechi zake za kimataifa? Lame excuse indeed.Our two main stadiums are all under renovations. What did you expect.
And by the way, hubu tuoneshe kiwanja hata kimoja currently under construction hapo Tanganyika
Lakini tuna more than one caf approved stadium au sio 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wakati wao hawana hata ya kupaka viwanja rangi😂😂
Viwanja vyenu havijakidhi vigezo kwasababu vinajengwa na mafundi wakenya, mnapaka paka marangi lkn CAF wakipima ubora wa uwanja wanakuta mchanga Lori nzima cement mfuko mmoja, je ungekuwa wewe unge approve huo uwanja? Si mnataka kuua watu nyinyi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wacha kujisumbua na Nyayo. Shugulika na lile gofu la Mwanza iitwayo stadium.
Mpaka kiwe approved na kama kitakosa approval hamtoandaa hiyo Chan.Ukweli upi? If they are not CAF approved why is one set to host CHAN later this year? Ama approval wewe ndio unapeana.
Ilikuwa mechi ya mashindano gn hebu tuambie, ya FIFA au CAF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Last year was 20 yrs ago?😂😂🤣
View attachment 2993481
Maneno matupu.
Mbona huoneshi taarifa yote? Unachoficha ni nini?Kumbe Makwapa Stadium was also a grant from Chinese. Watanzania wanasaidiwa kila kitu😂😂😂🤣
View attachment 2993534
Hebu tuanze kwa kulinganisha performance za ports zetu Kisha tuingie kwenye airports
Kumbuka electric sgr inaenda both lakes victoria na tanganyika. Hivi unajua shinyanga, tabora, dodoma, morogoro, kigoma, kagera, mara, singida kuna nini? Personally sgr imenifanya nianze kujipanga kuingia kwenye biashara basing on this corridor.Usidhanie kwamba mko mbele kwenye SGR manake hatujui economic metric zenu ni gani. Tunasubiri Sana kuona volume ya mizigo na abiria mtakao safirisha kwa mwaka mmoja kisha tulinganishe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aibu ya wazungu weusi
View: https://twitter.com/TeyaKevin/status/1770784129983939051?t=iFwi68rT7DFwgqEg1SLZng&s=19