Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa wikipedia 👏👏👏😂😂
Asante na ww pia 🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2024-05-18-22-25-52.png
 
Usidhanie kwamba mko mbele kwenye SGR manake hatujui economic metric zenu ni gani. Tunasubiri Sana kuona volume ya mizigo na abiria mtakao safirisha kwa mwaka mmoja kisha tulinganishe.
The same way they made noise when they revived ATCL. Ungedhani wameiteka usafiri wa anga ya Dunia. Leo hii ATCL inatengeneza hasara, ndege zake zinashikwa, zingine zimepaki kwenye maeneo ya matengenezo kwa mieze minane huku pia wakisuspend baadhi ya routes za kigeni. Haya yote ni ndani ya chini ya miaka mitano.

What they don't realize is, hizi biashara it's about the numbers. So far, tunawezasema sgr yetu kwa aina Fulani is making progress coz there are numbers and these numbers are only pointing to a brighter future.

Ningewashauri waache hizi kelele zao za sgr tusibiri ianze kazi rasmi Kisha waje hapa we compare notes
 
Remember also ATCL has never made any profit tangu ianzishwe😂😂😂
 
Kunyaland haina chochote cha kujilinganisha na Tanzania katika sekta ya usafiri na huduma za usafirishaji.

Tanzania is far ahead in Logistics infrastructure and services. Hii ni kwa hakika as a pro in that industry. You need to up your game to catch up.
Hebu tuanze kwa kulinganisha performance za ports zetu Kisha tuingie kwenye airports
 
Hebu tuanze kwa kulinganisha performance za ports zetu Kisha tuingue kwenye airports
Mwambie Mombasa port handles twice the number all their ports do when put together.
Also remind them that JKIA handles twice all their airports handles when their numbers are put together.
 
Back
Top Bottom