ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Malawi serious Malawi 2024 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Kunywa maji kijana utakufa kwa kutapika nyongo.
Malawi serious Malawi 2024 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Kunywa maji kijana utakufa kwa kutapika nyongo.
Alaf kitu kibaya anaona kabisa tunajua ukweli lakini atabisha Tu afiche aibu wakat nyash yote iko wazi 🤣🤣🤣🤣🤣Kwani unajisikia vibaya kukubaliana na ukweli?😎😎
Wanataka kutupimia matumizi ya hela zetu maajabu haya😅😅😅😅😅😅Kwani pesa ni za kwako bongolala? Kwenu Yemen kuna hata uwanja hadhi ya Nyayo?
Another loss making aircraft with dala dala routes😅😅😅Musiwaoneshe plz 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2993465
Inamaana Ile renovation ya Kwanza watu walikula pesa as usual🤣🤣🤣🤣🤣Wanataka kutupimia matumizi ya hela zetu maajabu haya😅😅😅😅😅😅
Wakati wao hawana hata ya kupaka viwanja rangi😂😂Wanataka kutupimia matumizi ya hela zetu maajabu haya😅😅😅😅😅😅
Yani mpaka mseme na bado mutasema Yani mpaka museme 🤣🤣🤣🤣🤣Another loss making aircraft with dala dala routes😅😅😅
Wacha kujisumbua na Nyayo. Shugulika na lile gofu la Mwanza iitwayo stadium.Inamaana Ile renovation ya Kwanza watu walikula pesa as usual🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe Kama toilet boy kuna hata shilingi yako imeliwa hapo ama ni nyongo imekuzidi ukaona utapike.Inamaana Ile renovation ya Kwanza watu walikula pesa as usual🤣🤣🤣🤣🤣
Ewaaaaaaah!!! 😅😅😅😅😅Wakati wao hawana hata ya kupaka viwanja rangi😂😂
Ajabu mumetumia millions of money Nyayo na bado hakuna CAF standard na watu wamekula pesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakati wao hawana hata ya kupaka viwanja rangi😂😂
Ukweli upi? If they are not CAF approved why is one set to host CHAN later this year? Ama approval wewe ndio unapeana.Kwani unajisikia vibaya kukubaliana na ukweli?😎😎
Wanasiasa wanakula pesa kilaini 🤣🤣🤣🤣Wewe Kama toilet boy kuna hata shilingi yako imeliwa hapo ama ni nyongo imekuzidi ukaona utapike.
Another refurbished plane that is going to stall after 7 months.Musiwaoneshe plz 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2993465
Tuletee report kua Nyayo imekua approved na CAF after renovation na walikua kufanya inspection au nikuletee ushahidi 🤣🤣🤣🤣🤣Ukweli upi? If they are not CAF approved why is one set to host CHAN later this year? Ama approval wewe ndio unapeana.
Kama hakuna CAF standard then how is Nyayo going to Host CHAN matches?Ajabu mumetumia millions of money Nyayo na bado hakuna CAF standard na watu wamekula pesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leta ushahidi SASA kutoka Boeing 🤣🤣🤣Another refurbished plane that is going to stall after 7 months.
Hii itasaidia vipi kununua mkebe wa rangi kwa minajili ya CCM kirumba.Wanasiasa wanakula pesa kilaini 🤣🤣🤣🤣
Harambee stars wanaenda kufanya nn Malawi kama Nyayo stadium IPO??🤣🤣Kama hakuna CAF standard then how is going to Host CHAN matches?
Tulete report ya Azam kwanza.Tuletee report kua Nyayo imekua approved na CAF after renovation na walikua kufanya inspection au nikuletee ushahidi 🤣🤣🤣🤣🤣