Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia kukuliza gari za ambulance na police hua zinakata wapi?? Unless we mpira hujui 🤣🤣
Bongolala, niletee picha ya ambulance ndani ya Emirates stadium.

Hata hapa kwetu, niletee picha ya ambulance ndani ya Kasarani.
 
Mbona unajipenyeza mzee.? Kenya haina hata stadium moja yenye iko na standards za kimataifa. 🤣🤣🤣
Sasa zenye ziko na standards za kimataifa ni hizi zenu zenye hupack magari mbele ya mashabiki na running tracks za lami?
 
Na kwa viwanja wanavojenga bro trust me hakuna kiwanja hata kimoja watapata approval 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hio Nyayo walifanya renovation watu wakala pesa na ila fail standards
Nyayo haijafail standards bongolala. It's currently under renovation in readiness for CHAN tournament. Najua inawauma sana ila metaziea tu
 
Inakaa lami ama zege, ole wako uanguke wakati ukikimbia, ngozi inabakia chini.
Eti Malawi ina CAF approved stadium Kenya haina 2024,😂😂😂 na hua munadanganya muko level za singapore na Malaysia

Ona aibu SASA inavowadinya dunia nzima inawacheka, what a failed state 😂😂😂😂

Mumeficha aibu zenu miaka kwenda miaka kurudi SASA aibu zinajionesha waziwazi, eti GDP Nye Nye Nye haya kiko wapi SASA??😂😂

View: https://twitter.com/matchday_africa/status/1787424908823220581?t=a6SmUvTggo6XF-HJL6SsAg&s=19
 
Nyayo haijafail standards bongolala. It's currently under renovation in readiness for CHAN tournament. Najua inawauma sana ila metaziea tu
Kwann munafanya tena renovation wakat imefanywa juzi Tu na pesa zimeliwa 😂😂😂

Kwann Harambee stars waende Malawi kucheza, na hili unataka kuficha au😂😂😂

Malawi ina CAF standard stadium wakat Kenya haina na hua munapanua midomo yenu juu ya GDP Nye Nye Nye

View: https://twitter.com/matchday_africa/status/1787424908823220581?t=a6SmUvTggo6XF-HJL6SsAg&s=19
 
Kwann munafanya tena renovation wakat imefanywa juzi Tu na pesa zimeliwa 😂😂😂

Kwann Harambee stars waende Malawi kucheza, na hili unataka kuficha au😂😂😂

Malawi ina CAF standard stadium wakat Kenya haina na hua munapanua midomo yenu juu ya GDP Nye Nye Nye

View: https://twitter.com/matchday_africa/status/1787424908823220581?t=a6SmUvTggo6XF-HJL6SsAg&s=19

Kwani pesa ni za kwako bongolala? Kwenu Yemen kuna hata uwanja hadhi ya Nyayo?
 
Eti Malawi ina CAF approved stadium Kenya haina 2024,😂😂😂 na hua munadanganya muko level za singapore na Malaysia

Ona aibu SASA inavowadinya dunia nzima inawacheka, what a failed state 😂😂😂😂

Mumeficha aibu zenu miaka kwenda miaka kurudi SASA aibu zinajionesha waziwazi, eti GDP Nye Nye Nye haya kiko wapi SASA??😂😂

View: https://twitter.com/matchday_africa/status/1787424908823220581?t=a6SmUvTggo6XF-HJL6SsAg&s=19

Kunywa maji kijana utakufa kwa kutapika nyongo.
 
Haya manyang’au yanashangaza sana. Litimu lao la taifa limekimbilia Malawi kucheza mechi sababu viwanja vyao havikidhi viwango lakini bado tu yanajisfia bila aibu, ha ha ha😎😎
Our two main stadiums are all under renovations. What did you expect.

And by the way, hubu tuoneshe kiwanja hata kimoja currently under construction hapo Tanganyika
 
Musiwaoneshe plz 🤣🤣🤣🤣
FB_IMG_1716066437990.jpg
 
Our two main stadiums are all under renovations. What did you expect.

And by the way, hubu tuoneshe kiwanja hata kimoja currently under construction hapo Tanganyika
Kwani Nyayo haijatoka kwenye renovation just 1 year ago au unatufanya hatujui🤣🤣
 
Back
Top Bottom