Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shocking but not unusual for Tanzania is synonymous to misaada.
I didn’t know Makwapa is a grant from China.

There is a book Titled “The Dragon Gift” imeiongelea vizuri sana😂😂

 
Vitu Kenya ilikuwa inafanya 1979 ndio mnafanya 2024 Kama watu washatoka huko😂😂😂
Kitu gani tumefanya kuwaiga nyie ??🤣🤣🤣

Hebu taja kimoja Tu Nasubiri hapa, kasome sheria za mpira alaf uje SASA tuongee chizi wewe
 
Na hzo ni picha za 2018 🤣🤣🤣🤣
Uwanja Una miaka 40 lakini uko Bora na inatumika, usisahau ni 35,000 capacity
Nyayo stadium is 41 years old but us a million times better than that Greek amphitheater you call a stadium.
images - 2024-05-18T231507.392.jpeg
images - 2024-05-18T231648.449.jpeg
images - 2024-05-18T231437.599.jpeg

From seats to running track to the playing turf. It's better than CCM Kirumba in everything so stop hiding behind the stadium's age
 
Kitu gani tumefanya kuwaiga nyie ??🤣🤣🤣

Hebu taja kimoja Tu Nasubiri hapa, kasomea sheria za mpira alaf uje SASA tuongee chizi wewe
Mnapark gari ndani ya Stadium kitu watu waliacha kufanya 30 yrs ago😂😂😂🤣.

Nyayo Stadium Now, umeona Ambulance anywhere?😂😂
1716063769705.jpeg
 
Hapo mpiga corner kick maisha yake yamo hatarini 😂😂
So far Tanzania in 3 CAF approved stadium nyie munazo ngap?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nchi ya GDP inataka kwenda kucheza Malawi, Yani hata Malawi imewashinda mbwa nyinyi, ona Leo dunia inavowacheka kwasababu yakuficha na kusifia vitu hamuna uwezo navo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mulidanganywa kua muko level ya Singapore kumbe Malawi iko mbele kuliko nyinyi wazee wa sifa za uongo


View: https://twitter.com/JoelOmotto/status/1791090162329419917?t=jhz_O7dwqKRwJ8N_NeQeOA&s=19
 
Back
Top Bottom