Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ulitaka Harambee stars Wacheze in a Stadium under Renovation? Hivo ndio huwa mnafanya Yemen?Harambee stars wanaenda kufanya nn Malawi kama Nyayo stadium IPO??🤣🤣
Ulitaka Harambee stars Wacheze in a Stadium under Renovation? Hivo ndio huwa mnafanya Yemen?Harambee stars wanaenda kufanya nn Malawi kama Nyayo stadium IPO??🤣🤣
Kwani CCM kirumba ni uwanja unaotegemewa Tanzania?? Tanzania tuna 3 CAF approved stadiums so far nyie kwenu vpHii itasaidia vipi kununua mkebe wa rangi kwa minajili ya CCM kirumba.
Renovation gani na imetoka kwa renovation juzi Tu hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 au nikuletee ushahidi walikuja watu wa CAF kufanya inspectionsUlitaka Harambee stars Wacheze in a Stadium under Renovation? Hivo ndio huwa mnafanya Yemen?
Ndege zenu zote ni refurbished zikapakwa chokaa.Leta ushahidi SASA kutoka Boeing 🤣🤣🤣
Unafkiri ndege ni kama zile nganya zenu
Hebu leta ripoti kutoka CAF ya hizo viwanjaKwani CCM kirumba ni uwanja unaotegemewa Tanzania?? Tanzania tuna 3 CAF approved stadiums so far nyie kwenu vp
Walikuja wakaichagua kuhost CHAN matches, they also went to Azam and Azam failed to qualify.Renovation gani na imetoka kwa renovation juzi Tu hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 au nikuletee ushahidi walikuja watu wa CAF kufanya inspections
Akikuletea niite.Hebu leta ripoti kutoka CAF ya hizo viwanja
Imeandikwa wapi ni hatia kufanya renovation ya uwanja Mara kwa Mara.Renovation gani na imetoka kwa renovation juzi Tu hapa 🤣🤣🤣🤣🤣 au nikuletee ushahidi walikuja watu wa CAF kufanya inspections
Amepotea 😅😅😅😅😅Akikuletea niite.
Kwann mupoteze pesa kwa ajili ya CAF approval alaf hamuipati baada ya renovation 🤣🤣🤣🤣🤣Imeandikwa wapi ni hatia kufanya renovation ya uwanja Mara kwa Mara.
Wamezoea zile Greek Gothic Structures hadi anaona ni strange kufanya renovation. There is a reason why the only bood stadium they have in Tanzania is a grant from China.Imeandikwa wapi ni hatia kufanya renovation ya uwanja Mara kwa Mara.
Akikuletea niite.
Rudini page za nyuma nilishaleta all CAF approved stadium kutoka kwenye page ya CAF officialAmepotea 😅😅😅😅😅
Kwann mupoteze pesa kwa ajili ya CAF approval alaf hamuipati baada ya renovation 🤣🤣🤣🤣🤣
Another renovation after Ile yakwanza watu Kula pesa alaf ika fail 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Walikuja wakaichagua kuhost CHAN matches, they also went to Azam and Azam failed to qualify.
View attachment 2993474
👇👇👇👇👇👇👇
Another renovation after Ile yakwanza watu Kula pesa alaf ika fail 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeuliza report, not a list of all Stadiums in Africa. Ama maana ya report ndio hujui?😂😂😂Rudini page za nyuma nilishaleta all CAF approved stadium kutoka kwenye page ya CAF official
Mbona Azam haikuchaguliwa kuhost CHAN? Si CAF officials walienda huko to observe the state of the stafium?😂😂🤣Another renovation after Ile yakwanza watu Kula pesa alaf ika fail 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilishaleta sileti tena CAF approved stadiums Sisi tunazo tatu nyie munazo ngap so far 🤣🤣🤣🤣 vichekesho kweliUmeuliza report, not a list of all Stadiums in Africa. Ama maana ya report ndio hujui?😂😂😂
Azam ishahost na inaendelea Ku host mechi zote za kimataifa za CAF au unataka tubishane juzi Tu Sudan wamelewa mechi zao za CAF Azam complex 🤣🤣🤣🤣🤣Mbona Azam haikuchaguliwa kuhost CHAN? Si CAF officials walienda huko to observe the state of the stafium?😂😂🤣
Aisee hata mtoto mdogo anaona jinsi unavyotapatapa😎😎Ukweli upi? If they are not CAF approved why is one set to host CHAN later this year? Ama approval wewe ndio unapeana.