Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Investment since 1977?
Kwani air Tanzania imefufuliwa lini na unajua aliefufua ni Nani???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani hata sijui hua munahangaika na kitu gani

2017 air Tanzania ndio imefufuliwa SASA hata sijui kwann munatapatapa na SASA ina ndege 16 just imagine kutoka zero to 16 aircrafts πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Air Tanzania ilikufa lini? Ebu tuambie siku ilikufa ndio ianze kufufliwa.
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshots_2024-05-18-22-13-04.png
 
Unafananisha 30,000 na 3000 capacity stadium kichwa chako hakiko sawa wwπŸ˜‚πŸ˜‚
Mashabiki Naona watatu. Alafu hiyo stadium sio 30,000. Ebu leta seats zenye zinafika hata tatu ndio nikuaminiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakuuliza tena unafananisha 30,000 stadium with 3000 stadium akili yako iko sawa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Air Tanzania haijaikufaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kama kuna period ilikufa ebu ieke hapaπŸ˜‚πŸ˜‚
Narudia kukwambia air Tanzania imefufuliwa 2017 na SASA ina ndege 16 zinamilikwa asilimia 100 VP kuhusu kq ina ndege ngapi inazomiliki??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakuuliza tena unafananisha 30,000 stadium with 3000 stadium akili yako iko sawa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo stadium is not 30,000πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu I’m talking about Dandora Stadium which is better than all Stadiums in Tanzania apart from Makwapa.
 
Narudia kukwambia air Tanzania imefufuliwa 2017 na SASA ina ndege 16 zinamilikwa asilimia 100 VP kuhusu kq ina ndege ngapi inazomiliki??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Air Tanzania haijawai kufa. Imekuwa ikitengeneza hasara kila mwaka from 1977πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo stadium is not 30,000πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu I’m talking about Dandora Stadium which is better than all Stadiums in Tanzania apart from Makwapa.
Na tena nilikosea ni 35,000 🀣🀣🀣🀣
Screenshots_2024-05-18-22-22-55.png
 
Back
Top Bottom