Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1715957256571.png
 
Mwehu wewe kwani hii stadium imefanyiwa renovation lini sijuzi Tu hapa?? Au ww unataka kusema nn au munaumia kisa Tanzania imewaacha kwenye stadium issue??😂😂😂😂😂
Yaani tatizo, kwanza hiyo kasarani na Nyayo miaka ya nyuma ilifanyiwa renovation sasa hata hazifikii hiyo Namboole wala Amahoro, alafu wanalaumu.

AZAM nayo ina category yake ya approved kuna Category hauwezi tumika.
 

Duh! Inaogopesha well nakumbuka bongo tozo ya Tsh 100 ilileta mzozo mkubwa mpaka ikaondolewa.

Ila Kenya dah! Kila sehemu tozo ingekuja bongo mbona ingekua vurugu sana.

Point kubwa ni kuwa kuna kila njia serikali inaweza jipatia mapesa, madini, ports, utalii, uvuvi, anga, mawasiliano, miundombinu, kilimo, michezo.

Ila wajinga wanaacha hizo zote wanakuja kutukamua sisi na unakuta foreigners ndio wanaofaidika nazo.

Inakera.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom