buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Acha ugoro bana. Eti finyu.Leta majaribio alafu pili mizigo yenu ni finyu ikilinganisha na Mombasa port
Acha ugoro bana. Eti finyu.Leta majaribio alafu pili mizigo yenu ni finyu ikilinganisha na Mombasa port
Shida yako nini? Mbona unajiaibisha, umejengwa mwaka huu kuwa hivyo na mwaka huu CAF watapita, ni kila mwaka wanapita kukagua.
Yaani tatizo, kwanza hiyo kasarani na Nyayo miaka ya nyuma ilifanyiwa renovation sasa hata hazifikii hiyo Namboole wala Amahoro, alafu wanalaumu.Mwehu wewe kwani hii stadium imefanyiwa renovation lini sijuzi Tu hapa?? Au ww unataka kusema nn au munaumia kisa Tanzania imewaacha kwenye stadium issue??😂😂😂😂😂
Haiwezi zibwa hapo mbele ili ichongoke vizuri?
Inachodaiwa kunyaland na kinachoonekana ni tofauti,slums is everywhere there
Hapo bado sisi pia tukiamua kuwadai zile dawa za tb walizotuomba,mbigilisi wa kikunya wana dhiki ya hatari!Hiyo ni IMF bado China
Utapata mwenye anakuuliza driving licence hata hakana hako kadriving Licence.Wewe mpira upo desperate sana
View attachment 2992549
Wanaijenga binguni, niliuliza Yule kibanda gang akaniambia ati inajengwa lakini they don’t pictures. Even the neighbors bordering that Stadium can’t see it.Ile ya Arusha imefika wapi so far? Ama contractors walisombwa na mafuriko?😂😂😂
World Cup qualification siku hizi imekuwa ya CAF? Wewe rudi Yemen cause it clearly shows you don’t know anything about Africa.Alaf mechi yenu ya CAF munapeleka Malawi🤣🤣
Msimamizi wa FIFA Africa ni Nani??🤣🤣World Cup qualification siku hizi imekuwa ya CAF? Wewe rudi Yemen cause it clearly shows you don’t know anything about Africa.
Na ukiletewa picha za ujenzi usikimbie SASA🤣Wanaijenga binguni, niliuliza Yule kibanda gang akaniambia ati inajengwa lakini they don’t pictures. Even the neighbors bordering that Stadium can’t see it.