Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha6a Manifesto wanajaribu kuhakikisha wanataka kutengeneza empire yao Tanzania kama Kule Kenya Kikuyu.

Hujui watu wengi wa kutoka kule ndio wanakuwa negative. Hata hivyo Kule kimara more than 80% wapo wao ndio waliomchagua ili awatetee.

Dig down deep utawaona CHADEMA na lengo lake. Kama hujatokea kule wanakumaliza.
Huu ni ukabila kwa wachagga.
 
lol....they did this electric thing to look better than Kenyan SGR tz has serious self esteem issues....they did not do proper thinking about this electric thing.
Kitawaramba na tutakua hapa, hata kwenye airline pia walitaka waonekane wao ndo mabingwa, angalia sasa wanavyopata aibu.
 
Magufuli aliwapa Sana "Political mileage" pale alipoanza kujibishana nao, kuwakataza kuandamana, kuwapiga na kuwateka hovyo, Kwasababu "they thrive well in chaos", hivi Sasa mama hawasemi Wala hawagusi, wameishiwa hawana Cha kuwashawishi watu wawasikilize wanebaki kufuatilia vitu vya ajabu ajabu.

Hivi mwanasiasa gani ambaye mwezi wa August Kuna uchaguzi, yeye anafuatilia mienendo ya majaribio ya train badala ya kutangaza sera ya chama chake. Kwenye majaribio ya train inaweza kusimama popote na saa yoyote Ile, SI ndio maana ya majaribio.
Ubaya liengo lao la kujenga empire limeshindikana. Tunawanyosha kisawa sawa. Ukimsikiliza Upendo Peneza mahojiano ya Jana kwenye Power Breakfast ya Clouds FM. Utagundua kuna kitu wanafanya. Zaidi sana wanatetea Himaya yao. By the way kwa sasa wamezeeka na hakuna mtu wa kuwapatia Attention tena.
 
Samia Housing Scheme Kawe-Nyumba 560
1579587639.jpg
-2029302512.jpg
-1276388142.jpg
-540503627.jpg


View: https://www.instagram.com/reel/C7DxsMDt2s7/?igsh=dWs2bjRuZGltc3Vx
 
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_
leo Mei 17, 2024 atafunga Mkutano wa 79 wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), hafla hiyo inafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Johari Rotana Jijini Dar es salaam.

1715941044736.png


1715941079079.png


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom