ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ni FIFA.Msimamizi wa FIFA Africa ni Nani??🤣🤣
Si ulete. Hakuna kinachoendelea kule Arusha.Na ukiletewa picha za ujenzi usikimbie SASA🤣
Sisi kwetu floods hakuna tena nashangaa eti Kenya bado kuna floods, floods Kenya imekua zaidi ya 250 na hio ni number ya serekali ambayo siku zote ni ya uongoUnasumbuka kuhusu mafuriko ya Kenya wakati hali ni mbaya hata zaidi kwenu View attachment 2992807
Thanks for Wikipedia.Nakuuliza tena msimamizi wa FIFA Africa ni Nani ???🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2992808
Yemen ni desert hakuwezikuwa na floods.Sisi kwetu floods hakuna
Prove me kwamba sio kweli mm nifunge ACC🤣Thanks for Wikipedia.
Lol😂😂😂😂😂😂😂Yemen ni desert hakuwezikuwa na floods.
Mm nashangaa Tanzania tuna 2 weeks SASA sijaskia mambo ya floods lakini ajabu eti Kenya bado kuna floods, shida ni nn???Yemen ni desert hakuwezikuwa na floods.
Of course Yemen hakukuwa na floods ila Tanzania kilikuwa na mafurikoSisi kwetu floods hakuna tena nashangaa eti Kenya bado kuna floods, floods Kenya imekua zaidi ya 250 na hio ni number ya serekali ambayo siku zote ni ya uongo
Narudia tena over 2 weeks SASA Tanzania hatuna habari ya mafuriko kwann Kenya bado Naskia mafuriko, kuna shida gani au ni laana ya Nani 👇Of course Yemen hakukuwa na floods ila Tanzania kilikuwa na mafuriko
Mm nashangaa Tanzania tuna 2 weeks SASA sijaskia mambo ya floods lakini ajabu eti Kenya bado kuna floods, shida ni nn???
View: https://twitter.com/Pamelanoah_/status/1791394430622056630?t=bktp1WSUfPx9cuLwii7V0g&s=19
View: https://twitter.com/sserwaddajose/status/1791396898089107906?t=Qvjk5gWJWdrrMip5wTyRSA&s=19
Mm nashangaa Tanzania tuna 2 weeks SASA sijaskia mambo ya floods lakini ajabu eti Kenya bado kuna floods, shida ni nn???
View: https://twitter.com/Pamelanoah_/status/1791394430622056630?t=bktp1WSUfPx9cuLwii7V0g&s=19
View: https://twitter.com/sserwaddajose/status/1791396898089107906?t=Qvjk5gWJWdrrMip5wTyRSA&s=19
Duh! Inaogopesha well nakumbuka bongo tozo ya Tsh 100 ilileta mzozo mkubwa mpaka ikaondolewa.
Ila Kenya dah! Kila sehemu tozo ingekuja bongo mbona ingekua vurugu sana.
Point kubwa ni kuwa kuna kila njia serikali inaweza jipatia mapesa, madini, ports, utalii, uvuvi, anga, mawasiliano, miundombinu, kilimo, michezo.
Ila wajinga wanaacha hizo zote wanakuja kutukamua sisi na unakuta foreigners ndio wanaofaidika nazo.
Inakera.
You don’t know anything about Africa.Prove me kwamba sio kweli mm nifunge ACC🤣