Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,859
- 103,717
Aisee ushabiki wa waziwazi! Huyu mtu sidhani kama anafahamu uzito wa kile cheo!
Aisee ushabiki wa waziwazi! Huyu mtu sidhani kama anafahamu uzito wa kile cheo!
Ndio maan TFF walimfungia kujihusisha na mpiraAisee ushabiki wa waziwazi! Huyu mtu sidhani kama anafahamu uzito wa kile cheo!
Nini maana ya picha hii? Au na wewe upo desperate?
Ile story yake imeisha tu hivyo baada ya mbwembe nyingiHatujengi kuwa Impress wakenya 🤣 🤣 🤣 🤣
Sasa unataka kila siku tulete update za ujenzi wewe ni nani? Subiri muda mwafaka ukifika tutaleta maendeleo ya ujenzi. Watanzania siyo malimbukeni kama wakenya. 🤣 🤣 🤣Ile story yake imeisha tu hivyo baada ya mbwembe nyingi
Alaf mechi yenu ya CAF munapeleka Malawi🤣🤣
there is no match Kenya is going to play in Malawi. Nyayo will be given a greenlight nextweek.Alaf mechi yenu ya CAF munapeleka Malawi🤣🤣