Suluhu ameenda visit France na hata hawezi wekewa red carpet akitoka kwa ndege, anawekewa carpet ya kupanguzia vumbi kama zile za milango 😂😂😂
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1790296349667205216
Yani mtu mwenyewe hata mjadala anaoleta ni wakisenge.
Kuna mjadala wa maana hapo!?
Jadili kilichompeleka Samia France ni kipi na je kimefanikiwa?
Hilo ndio la msingi.
Habari za kupokelewa hazina mantiki yeyote.