ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,414
- 85,225
Jengo la Ibalozi mdogo wa Burundi Kigoma
Aiseee.Hakusema Niger-Congo, alisema Volta-Niger. 🤣 🤣
Halfu hivi unadhani Bantu, Cushite, Nilote ni nini? Hizo zinaitwa Linguistic groups aisee.
Alafu Niger-Congo is not a subset of Bantu, Bantu is a subset of Niger-Congo. Natumai hicho kizungu hakitakupita tena. Hakuna kitu kinachoitwa Bantu Protoype.
Nakwambia umejiingia kwa mjadala usioelewa kitu alafu unakazana kujibizana. Nenda nyumbani kabla ujiabishe zaidi.
Mnasema tutumie google kutusaidia aya soma maana ya ethnic.Sana tena sana. Yani jamaa hata hajui ethnicity ni nini alafu anatusumbua hapa
Shida jidipiii baba 😁
Ethnicity is another word for tribe wewe kilaza wa bongo. They are used interchangeably.Ethnic ni population ambayo ina share common culture na language ni miongoni mwa culture.
Hizo sukuma,igbo e.t.c ni tribes.
Mathalan sukuma,nyamwezi,Nyaturu hizi ni tribes ambazo zinaingia kwenye bantu ethnicity.
Na hizi tribes hu share common culture including language kwasababu wanatokea katika ethnicity moja.
Ushachanganya mambo.
Cushites ni ethnic group of population which shares the same cultural aspects including language.
For example Amhara,Oroma,Shunguli these are all cushites.
Hivyo ethnicity is not only about language is also about customs and norms of a certain population.
Fala wewe.
Kama kwenu Kenya wanawafundisha Ethnicity is only about LANGUAGE basi sitamleta mwanangu asome Kenya mtamharibu.
Usinifanye mie mpuuzi kijana.
Soma hapo uelewe maana ya ethnicity,maana huwenda ukawa mimi hunielewi.Ethnicity is another word for tribe wewe kilaza wa bongo. They are used interchangeably.
Hakuna kitu inaitwa BANTU ETHNICITY as you've outlined above. Bantu is a LANGUAGE GROUP, not ethnicity.
Didn't you study a topic called "African language groups" both in primary school and highschool? Ama ulifukuziwa school fees during that time?
Unabisha na hata wewe mwenyewe unakunali kwamba Oromo, Amhara na Shuguli are all Cushites which is true and at the same time refuting that they don't belong to the same language group!! What a waste!!
Ipo ondoa shaka.Chuma kimetulia sana. Ila hiyo pua ya mbele waifunike sasa hata kama wanafanya majaribio.
Wacha nijaribu kukufunza kidoogo kama utaendelea na kiburi cha ujinga niachane nawe.Aiseee.
Wacha ninyamaze maana nabishana na mtu asiyefahamu kitu.
Wueh. 🤣 🤣 🤣Aiseee.
Wacha ninyamaze maana nabishana na mtu asiyefahamu kitu.
Mwalimu Nyerere aliwai sema kuna mtu mjinga na mtu mpumbavu. Mwalimu alisema ujinga ni ignorance. Mjinga ni yule asiyejua na akiambiwa inakwisha. Upumbavu nao ni foolishness. Foolishness ni kipaji kama ufupi na urefu. Mpumbavu hata ufanye nini hawezi badilika. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kutueleza haya mambo ya busara maanake ametusaidia kujua tunadeal na Mpumbavu hapa maanake mjinga angekuwa ashaajua baada ya hii kuelezwa yote. 🤣 🤣Wueh. 🤣 🤣 🤣
Didn't I say that ethnicity is another word for tribe? Sasa si unaona unavyojiumbua mwenyewe?Soma hapo uelewe maana ya ethnicity,maana huwenda ukawa mimi hunielewi.
Ethnicity hu comprise cultural aspects ambayo language ni moja wapo.
Ethnicity is not only about language.
Ndio maana nikakutolea mfano wa Amhara na Oromo hizi ni two tribes with the same ethnicity.
Katika language kuna masuala ya subdivision ya chimbuko halisi ya ile lugha.
Ndio maana sishangai maana elimu ya Kenya ndio inaowafundisha Olduvai ipo Kenya.View attachment 2990640