ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
Kwa hiyo ubomoaji ndio umefukia watu kwenye kifusi?Jengo limebomolewa wewe unasema limeporomoka.
Kwa hiyo ubomoaji ndio umefukia watu kwenye kifusi?Jengo limebomolewa wewe unasema limeporomoka.
Hakujibu,kama unaona alijibu lete jibu hapa.Alikujibu tena vizuri sana, ila uliendelea kupingana na kuuliza viswali vya ujinga akakuacha. Mbona huwezi kubali tu ulikosea?
Kuna ubomoaji unaendelea Mathare kwa sasa kisa nyumba nyingi zimejengwa kwa riparian land. Shida yenu huko kwenu Gorofa zipo sehemu chache sana hamuelewi ubomoaji unainvolve nini. Ubomoaji husababisha vifo sana especially sehemu za watu wenye pato ndogo. Alafu ifahamike wenye hayo majengo na wanaoishi hapo wamekana huo ubomoaji kwa hivo wengine wanawezabakia vyumbani deliberately ili kupinga ubomoaji na kujipata kwenye mkasa. Hizi hapa video za ubomoaji Mathare.Kwa hiyo ubomoaji ndio umefukia watu kwenye kifusi?
Chancellor wa Germany alienda China alipokelewa na Mayor wa Beijing na hakuwekewa carpet na alizungumza na waziri wa mambo ya nje wa China Jinping alikuja kukutana nae baadae sana.Ukiwafuata wote utapata saa zingine wao hupost vitu visivyo vya maana na pia vya uongo ile wetu wakipost, mnasherehekea na wenu wakipost mnatuambia eti sio wat wa kuskiza. Alafu hilo la kutopokelewa eti unasema jambo lisilo na tija? Yani Rais wenu kuwa political tourist hadi kuenda nchi ambazo anaoneshwa dharau unaona kama sio jambo la maana?
Either hujui kusoma ama uelewa wako ni wa mtoto wa nursery tu. Sijawai ona mtu asiye na knowledge yet anapenda kupingana na watu wenye knowledge ya hali ya juu kama wewe. Niambie ni swali gani ulimuuliza kuhusu Yoruba akashindwa kujibu nikupe screenshot ya jibu lake hapa saa hii hii alafu uniambie kama bado unaamini Yoruba ni bantu.Hakujibu,kama unaona alijibu lete jibu hapa.
Umesema vizuri, alipokelewa na Mayor wa Beijing. Hakupokelewa na Balozi wa Germany pale China.Chancellor wa Germany alienda China alipokelewa na Mayor wa Beijing na hakuwekewa carpet na alizungumza na waziri wa mambo ya nje wa China Jinping alikuja kukutana nae baadae sana.
Je hiyo nayo pia ni dharau!?
Hilo jambo sio la mantiki la kulishadadia ni upuuzi.
Jadili kilichompeleka Rais kule je kimefanikiwa!?
Nilimuuliza wanaoongea Yoruba wametoka katika ethnic group ipi katika four African ethnicity?Either hujui kusoma ama uelewa wako ni wa mtoto wa nursery tu. Sijawai ona mtu asiye na knowledge yet anapenda kupingana na watu wenye knowledge ya hali ya juu kama wewe. Niambie ni swali gani ulimuuliza kuhusu Yoruba akashindwa kujibu nikupe screenshot ya jibu lake hapa saa hii hii alafu uniambie kama bado unaamini Yoruba ni bantu.
Chancellor ana cheo kikubwa kuliko Mayor.Umesema vizuri, alipokelewa na Mayor wa Beijing. Hakupokelewa na Balozi wa Germany pale China.
Kama linabomolewa inakuaje inaua watu??Jengo limebomolewa wewe unasema limeporomoka.
Ndio maana nikakwambia wewe hubisha tu kisa unapenda kubisha. Husomi unachoambiwa kuelewa. Hili hapa sio jibu alilokupa?Nilimuuliza wanaoongea Yoruba wametoka katika ethnic group ipi katika four African ethnicity?
Chimbuko ni wapi!?
Niletee jibu alilojibu.
Huyo nilishaachoka naye. Jamaa anakazana Yoruba ni Bantu, nikaenda tu the lengths ya kumpa hadi linguistic group ya Yoruba jamaa hata hasomi kuelewa, lijamaa instead linaniuliza kuna ethnic group ngapi Afrika. Hapo hata halijakubali lilikuwa wrong. Nikachoka nalo nikaliambia litumie Google. Just like you said, he is an idiot who has too much to say. 🤣 🤣 🤣Ndio maana nikakwambia wewe hubisha tu kisa unapenda kubisha. Husomi unachoambiwa kuelewa. Hili hapa sio jibu alilokupa?
View attachment 2990579
Huyo Maria si ndio ambaye baba yake ni muhamiaji kutoka kunyaland! 😂😂😂Nakuuliza tena anacheo gani Tanzania na Nani anamjua???😂😂😂😂😂
Kwa akili zako hapa amejibu!?Ndio maana nikakwambia wewe hubisha tu kisa unapenda kubisha. Husomi unachoambiwa kuelewa. Hili hapa sio jibu alilokupa?
View attachment 2990579
Jamaa anakichwa kizito sana, thick skull.Huyo nilishaachoka naye. Jamaa anakazana Yoruba ni Bantu, nikaenda tu the lengths ya kumpa hadi linguistic group ya Yoruba jamaa hata hasomi kuelewa, lijamaa instead linaniuliza kuna ethnic group ngapi Afrika. Hapo hata halijakubali lilikuwa wrong. Nikachoka nalo nikaliambia litumie Google. Just like you said, he is an idiot who has too much to say. 🤣 🤣 🤣
Hukujibu swali Msenge wewe.Huyo nilishaachoka naye. Jamaa anakazana Yoruba ni Bantu, nikaenda tu the lengths ya kumpa hadi linguistic group ya Yoruba jamaa hata hasomi kuelewa, lijamaa instead linaniuliza kuna ethnic group ngapi Afrika. Hapo hata halijakubali lilikuwa wrong. Nikachoka nalo nikaliambia litumie Google. Just like you said, he is an idiot who has too much to say. 🤣 🤣 🤣
Kha! kha! kha! Hivi wewe una akili wewe?Kwa akili zako hapa amejibu!?
Umefanya mtihani ungekua unaulizwa na wewe ungejibu hivi!?
Hapo halijajibiwa swali.
Ni sawa mimi nakuuliza "which country do Jaluo come from" we unanijibu they are neither Tanzanian nor Kenyans.
Je hilo ni jibu sahihi!?
Nauliza tena Yoruba wametokea ethnicity ipi!?
Taja ethnicity waliotokea.
Nahisi Wakenya mna shida ya uelewa kichwani.
Kama sio WABANTU JE NI ETHNICITY IPI KATIKA ETHNICITY ZA AFRICA!?
👆👆👆👆
Kenya ipi yenye freedom of expression kuzidi Tanzania?They're all twitter government critics from their respective countries. Nyinyi mnatumia wa kwetu kutuchekelea na sisi tunatumia wa kwenu kumchekelea japo wa kwetu ni wengi zaidi kisa tuna freedom of expression.
Nimependa ulivyojikaza na huyo popoma. Mimi alinichosha na upumbavu wake. 🤣 🤣Kha! kha! kha! Hivi wewe una akili wewe?
Amekwambia hapo East Kwa also called Volta-Niger na bado unabisha tu? Hivi nani kakwambia Nilotes, Cushites na Bantus ndio only linguistic group hapa Africa. Mfano mzuri ni huu,
Umeuliza ''which country does Nelson Mandela come from? Kenya or Tanzania?''
Yeye Kakujibu, ''He neither comes from Kenya or Tanzania, he comes from South Africa, also called Mzansi''.
Alafu wewe sababu unajua nchi mbili pekee Africa unainsist hajakujibu kisa hajachagua moja ya hizo nchi ulizotaja.