Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwalimu Nyerere aliwai sema kuna mtu mjinga na mtu mpumbavu. Mwalimu alisema ujinga ni ignorance. Mjinga ni yule asiyejua na akiambiwa inakwisha. Upumbavu nao ni foolishness. Foolishness ni kipaji kama ufupi na urefu. Mpumbavu hata ufanye nini hawezi badilika. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kutueleza haya mambo ya busara maanake ametusaidia kujua tunadeal na Mpumbavu hapa maanake mjinga angekuwa ashaajua baada ya hii kuelezwa yote. 🤣 🤣
Lakini kwenye maelezo yake hayo ya busara kama ulivyokiri hakuishia hapo, pia alisema "Kenya is a man eat man society".
Shukran kwa kuyapa uzito maneno ya hekima ya mwalimu.
 
Tanzania kila mtu ni either wa Yanga ama Simba, very backward country 😂😂.

Kenya.

Tusker
1715792732461.jpeg


Shabana
1715792829588.jpeg

1715792863118.jpeg


Murang’a Seals
1715793004599.jpeg
 
Back
Top Bottom