Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kha! kha! kha! Hivi wewe una akili wewe?
Amekwambia hapo East Kwa also called Volta-Niger na bado unabisha tu? Hivi nani kakwambia Nilotes, Cushites na Bantus ndio only linguistic group hapa Africa. Mfano mzuri ni huu,
Umeuliza ''which country does Nelson Mandela come from? Kenya or Tanzania?''
Yeye Kakujibu, ''He neither comes from Kenya or Tanzania, he comes from South Africa, also called Mzansi''.
Alafu wewe sababu unajua nchi mbili pekee Africa unainsist hajakujibu kisa hajachagua moja ya hizo nchi ulizotaja.
Aiseee🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️ wakenya mna ugumu wa uelewa.
Labda niongee kitu cha mwisho.
Alisema Yoruba linguistic wanayotumia ni Niger-Congo.
Linguistic ni suala la lugha,ila lugha kabla haijaundwa lazima ikitazamwe asili ya chimbuko la kabila fulani ndipo tutajua muundo wa lugha umetokea wapi.
Sidhani kama hili mnalielewa ninyi jamaa.
Niger-Congo inaingia kwenye BANTU PROTOTYPE LINGUISTIC.
Aya nenda katafute chimbuko lake kesha urudi.
Ndio maana akati huu mjadala unakuja kule juu Gezaulole alisema Yoruba sio bantu mimi nikasema chimbuko lake wanaingia kwenye bantu,kwasababu wapo wanaosema kuwa Yoruba ni bantu na wapo wanaosema sio bantu.
Ila kwasababu zilizotolewa na wanaosema ni bantu mimi nimekubali kuwa Yoruba ni bantu,kwa kutizama kigezo kimoja chimbuko la asili yao linaingia katika bantu ethnicity.
Hata lugha hiyo ambayo mna claim ni Niger-Congo ni BANTU PROTOTYPE.
Mie huwa sibishani kama fala tu.
Uwe na asubuhi njema.
 
Nilimuuliza wanaoongea Yoruba wametoka katika ethnic group ipi katika four African ethnicity?
Chimbuko ni wapi!?
Niletee jibu alilojibu.
Yorubas belong to a language group known as Volta-Niger
 
Huyo Maria si ndio ambaye baba yake ni muhamiaji kutoka kunyaland! 😂😂😂
Baba yake Phillemon Mikol Sarungi. Mjaluo.
Nilikutakana naye pale Kwa Oscar karibu na ubalozi wa Ufaransa, Mzee anapiga pombe ile mbaya. Serikali imemtelekeza kutokana na tabia zake za ajabu. Naona mtoto anampambania baba yake.

Huyu hapa:

1715760352061.png

1715760384675.png
 
Aiseee🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️ wakenya mna ugumu wa uelewa.
Labda niongee kitu cha mwisho.
Alisema Yoruba linguistic wanayotumia ni Niger-Congo.
Linguistic ni suala la lugha,ila lugha kabla haijaundwa lazima ikitazamwe asili ya chimbuko la kabila fulani ndipo tutajua muundo wa lugha umetokea wapi.
Sidhani kama hili mnalielewa ninyi jamaa.
Niger-Congo inaingia kwenye BANTU PROTOTYPE LINGUISTIC.
Aya nenda katafute chimbuko lake kesha urudi.
Ndio maana akati huu mjadala unakuja kule juu Gezaulole alisema Yoruba sio bantu mimi nikasema chimbuko lake wanaingia kwenye bantu,kwasababu wapo wanaosema kuwa Yoruba ni bantu na wapo wanaosema sio bantu.
Ila kwasababu zilizotolewa na wanaosema ni bantu mimi nimekubali kuwa Yoruba ni bantu,kwa kutizama kigezo kimoja chimbuko la asili yao linaingia katika bantu ethnicity.
Hata lugha hiyo ambayo mna claim ni Niger-Congo ni BANTU PROTOTYPE.
Mie huwa sibishani kama fala tu.
Uwe na asubuhi njema.
Hakusema Niger-Congo, alisema Volta-Niger. 🤣 🤣
Halfu hivi unadhani Bantu, Cushite, Nilote ni nini? Hizo zinaitwa Linguistic groups aisee.
Alafu Niger-Congo is not a subset of Bantu, Bantu is a subset of Niger-Congo. Natumai hicho kizungu hakitakupita tena. Hakuna kitu kinachoitwa Bantu Protoype.
Nakwambia umejiingia kwa mjadala usioelewa kitu alafu unakazana kujibizana. Nenda nyumbani kabla ujiabishe zaidi.
 
Kwa akili zako hapa amejibu!?
Umefanya mtihani ungekua unaulizwa na wewe ungejibu hivi!?
Hapo halijajibiwa swali.
Ni sawa mimi nakuuliza "which country do Jaluo come from" we unanijibu they are neither Tanzanian nor Kenyans.
Je hilo ni jibu sahihi!?
Nauliza tena Yoruba wametokea ethnicity ipi!?
Taja ethnicity waliotokea.
Nahisi Wakenya mna shida ya uelewa kichwani.
Kama sio WABANTU JE NI ETHNICITY IPI KATIKA ETHNICITY ZA AFRICA!?
👆👆👆👆
Bongolala unajua maana ya neno ethnicity kweli. Hivi, hujui kwamba Yoruba is an ethnic group in itself?

Let me break it up for you a little bit. Sukuma, Kikuyu, Igbo, Luo, Pokomo, Shona etc are all African ethnic groups found in different parts of the continent.

Unachoita ethnic group in this case is a language group. Examples of language groups in Africa are Cushites, Bantus and Nilotes. These are not ethnicities; they are language groups. For example, Luos belong to a language group called Nilotes, Sukumas are Bantus, et al.

I hope you've understood now
 
Masoma ya Bongo yana shida.
Geza Ulole
 
Ethnic ni population ambayo ina share common culture na language ni miongoni mwa culture.
Hizo sukuma,igbo e.t.c ni tribes.
Mathalan sukuma,nyamwezi,Nyaturu hizi ni tribes ambazo zinaingia kwenye bantu ethnicity.
Na hizi tribes hu share common culture including language kwasababu wanatokea katika ethnicity moja.
Ushachanganya mambo.
Cushites ni ethnic group of population which shares the same cultural aspects including language.
For example Amhara,Oroma,Shunguli these are all cushites.
Hivyo ethnicity is not only about language is also about customs and norms of a certain population.
Fala wewe.
Kama kwenu Kenya wanawafundisha Ethnicity is only about LANGUAGE basi sitamleta mwanangu asome Kenya mtamharibu.
Usinifanye mie mpuuzi kijana.
 
Back
Top Bottom