Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lame excuse kama kawaida😂😂

May be an image of text that says TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MATENGENEZO YA NDEGE A787 (DREAMLINER) Tatizo ndege kukaa muda mrefu kwenye karakana, Malaysia, Inatokana ambazo zingeweza wakati njini zake zikifanyhwa naten genezo. Ndege Boeing 787- Kampuni za ATCL zinatumia injini Rolls mujibu miongozo Jsafiri imekuwa injni kufanyiwa matengenezo makubwa (overnaul) baada miruko 1,000. kwamatatizo (design) haya yamesababisha matoleo miongozo matengenezo zinapopelekwa matengenezo zinalazimika kuzingatia kutokana hivyo kupelekea kuchukua muda mrefu kuhitimisha Kukosekana ziada ndege carakana hadi kukamiika alwa. Imetolewar injini ndege liyokp Malaysia inatarajiwa urajea chini mwanzoni mwa JAMIIFORUMS AIR ΤΑΝΖΑΝΙΑ: WA INJINI UMESABABISHA NDEGE KUKAA MUDA MREFU KARAKANA YA MALAYSIA USAFIRISHAJI JamiiForums.com
Ndege za nchi zingine zipo angani ila zao hazipo kisa ukosefu wa injini. Misaada Republic bana. Labda wanangona msaada wa engine kutoka China. 🤣 🤣 🤣
 
SOON, Lamu port will be the biggest port in East and Central Africa overthrowing Mombasa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
FB_IMG_17155027536321152.jpg
 
The second biggest project in Kenya after Rostam Aziz Taifa gas project since the collapse of East African Community
Rostam amefanya project gani Kenya?😂😂
What’s the value of that project?
 
Buses design hizi huku kwetu hupati abiria. Tanzanians love travelling in luxury nadhani umeona hata trains zetu zilivyo ndani this is because the govt knows the requirements of its people
Masterlux is operating in Zimbabwe ama?
 
Ndege za nchi zingine zipo angani ila zao hazipo kisa ukosefu wa injini. Misaada Republic bana. Labda wanangona msaada wa engine kutoka China. 🤣 🤣 🤣
Wewe ndio umepata sasa. Wanangoja msaada wa engine kutoka China😂😂
 
Hivi karibuni competition itakuwa between Mombasa and Lamu. Wengine watafuata nyuma.
Internal competition yani. Ethiopias economy is on steroids which means more imports and exports for lamu and Lapsset is patiently waiting for business
 
Back
Top Bottom