Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Unataka nipoteze muda tena wakati hadi Raisi wenu ana faili Ikulu. Na kazindua mwenyeweEbu tuonyeshe hiyo Taifa tuione. Hata kama ofisi tu just show it.
File ya hewa ama? Taifa gas is non existence😂😂Unataka nipoteze muda tena wakati hadi Raisi wenu ana faili Ikulu. Na kazindua mwenyewe
Hiyo map imeandaliwa na kunyan,yan wanatamani kuwa kama sisi,juzi kati kuna m1 nilikua nae aliniambia sasa hivi kwa mkenya kununua kiwanja TZ ni rahisi,kuna wenzake wamenunua tanga huko,nikajua tu nae anaingia kwenye kutapeliwa
Unaruka ruka tu. Ulianza FDI/Investors sasa umerukia kwenye trading!
Okay endelea kuamini hivyo upate faraja ya moyo.File ya hewa ama? Taifa gas is non existence😂😂
What’s trade? Once you understand what trade is you will know that FDI is also a form of trade.Unaruka ruka tu. Ulianza FDI/Investors sasa umerukia kwenye trading!
Hii picha hapa ndio kiwanda?😂😂😂.Okay endelea kuamini hivyo upate faraja ya moyo.
View attachment 2988208
Unless serikali yenu ipo na kazi ya kufungua hewa na your state emblem ni useless mpaka kufungua miradi isiyopo.
Huyu jamaa ana stress za maisha nenda nae pole pole asijirushe baharini.If desperation for attention was a person, Kwani ni lazima nikujibu?😂😂😂
This forum has thousands of members.
NairobiWalker kuja uchukue huyu jama wako😂😂
View attachment 2988182
Tatizo lipo kwenye falsafa ya kampuni. Baada ya Boeing kuungana na MC Donnell, waliacha kutengeneza kwa ubora, walianza kupiga madenge ili kuongeza faida. Matokeo yake ndege zikaanza matatizo. Whistleblower wanaojitokeza wanauwawa, mpaka sasa wawili wameshaenda. Hili tatiizo ni la miaka mingi na Al jazeera walisharusha kipindi chake miaka 9 iliyopita.Bora twende tu hata kwa mchina maana ulaya siku hizi wana ufala mwingi sana.
Inanikumbusha movie ya "The Aviator"
Maana nowadays Boeing inatoa mafamba ile MAX walimaliza Tatizo?
Wacha upumbavu, that’s not OB van! Usifikirie that Mkweche can do live transmission,KBC was doing live transmissions before my mum was born.
View attachment 2987653
Una picha ya hata wheelbarrow ya rostam ikiwa site??Kulingana na which report alafu $50m ndio uchafu gani?
$200m ya Taifa Gas unaweza compare na huo uchafu?
Wewe sio mzima.What’s trade? Once you understand what trade is you will know that FDI is also a form of trade.