Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwaambia mlinunua second hand planes mkapinga😂😂
Nadhani Una hoja!... Kila nikiangalia production list na deliveries za Boeing kwa ndege aina ya B737 B787 nimegundua kuwa wanakarabati ndege zao kongwe, wanazipaka rangi et voilà.....
Tanzania Serikali nzima na wachungaji wa roho wanakusanyika uwanja wa ndege kufanya sherehe eti wanapokea ndege mpya! 😲
Kitu kipya unatengeneza mwenyewe bwana alaaa! 🤓
 
Mimi nikija Tz kama tu ilivyo kuwa Ethiopia, siwezi panda hizo Bureti traini zenu manake hujui msitu upi mtagwama umeme ukikatika. Mambo ya kusafiri roho mkononi ndo hayo. Kwanza maswala ya umeme Tanzania yalivyo!? Janga hilo!
Unaongea hvo huku roho inakuuma sana😅😅
 
Its unfortunate kwamba A223 zote duniani zina face similar issue hamna aliyeplan iwe hvyo , na walichagua kufua company so waishie kati kati ?

kati ya hizo 5 3 ni A223
1 ni Q300 yenye miaka 25
na hyo 787
Kaongea kwa uchungu kumbe hua Wanaumia Sana mwambie mwisho wa mwezi huu dreamliner nyingine mpya inaingia ili kama anataka kukataa roho asubiri Kwanza aione dreamliner 😅😅😅😅
 
Jamaa wanadhani tunatania. Hiyo taarifa ya gazeti inatakiwa kuwa verified. Mashangaa safari za China na India zinaendelea. Ndege gani inaelekea huko?
Labda wanadhani tunatumia ungo Kusafirisha abiria 😅😅😅😅😅😅
 
Nadhani Una hoja!... Kila nikiangalia production list na deliveries za Boeing kwa ndege aina ya B737 B787 nimegundua kuwa wanakarabati ndege zao kongwe, wanazipaka rangi et voilà.....
Tanzania Serikali nzima na wachungaji wa roho wanakusanyika uwanja wa ndege kufanya sherehe eti wanapokea ndege mpya! 😲
Kitu kipya unatengeneza mwenyewe bwana alaaa! 🤓
Au sio unafkiri ndege ni kama train hzi ambazo zilikuwepo world war 1 😅😅😅😅
SGR-Wagons-1068x712.jpg
images - 2024-04-27T231434.055.jpeg
 
Nadhani Una hoja!... Kila nikiangalia production list na deliveries za Boeing kwa ndege aina ya B737 B787 nimegundua kuwa wanakarabati ndege zao kongwe, wanazipaka rangi et voilà.....
Tanzania Serikali nzima na wachungaji wa roho wanakusanyika uwanja wa ndege kufanya sherehe eti wanapokea ndege mpya! 😲
Kitu kipya unatengeneza mwenyewe bwana alaaa! 🤓
Nilijua ukweli utatoklezea.🤣
 
6 Hours because our SGR PASSES THROUGH VERY BEAUTIFUL SCENERY 1.Inapitia game parks. Passengers always want to enjoy the beauty. So they are taken to 120Km/Hr.
2. We have very beautiful stations in picturesque zones that passengers normally stop for some adventure.

OR else our SGR normally goes to above 150Km/Hr in some sections. In fact some goes beyond 200Km/hr in sections with less interest.
Wakenya mbona mmegeuka majokers? Hii battle imekuwa ya kipumbavu kwa sasa mana utoto ni mwingi sn, hivi ni kweli kabisa tunashindana kuhusu diesel SGR vs electrified SGR?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu Konza au tatu vs Dodoma?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu soccer? Tuna ligi number 6 kwa ubora Africa, tumepeleka timu mbili robo fainali Africa, tumepeleka timu ya taifa Afcon, nchi pekee Africa mashariki?

Ni kweli tunabishana kuhusu sinotruck assembly plant? Mnalazimisha kwenu ipo wakati hakuna!!!

Huu ni utoto na ujinga wa kiwango cha juu sana, sikuwa najua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki aisee.
 
Back
Top Bottom