Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio stadium ina standard na technology zote ambazo hakuna hata stadium yenu moja inayo 😅😅😅😅😅😅😅😅 na inatambulika na CAF

View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=ESYoHp3yukQaHI-5RtPnog&s=19

View: https://twitter.com/kinjeketile/status/1596942931411496961?t=-idEhiGQ3qJ5qg1qdMEzeQ&s=19



Eti average speed faida yake ni nn SASA?? Ikiwa haina economic reason haina tofaut na bus mashcool au tahmeed 😅😅😅
Kwani aliekwambia Tanzania hautasimama kwenye kila kituo ni Nani ?? SGR gani ambayo mpaka Leo haijawah kuzalisha faida inatafuna pesa za taxpayer's na madeni kila Kona ya mchina, alikubali SGR yenu mchunguzeni vzr kuna fuse moja imekata Moto 😅😅😅😅😅

Mimi nikija Tz kama tu ilivyo kuwa Ethiopia, siwezi panda hizo Bureti traini zenu manake hujui msitu upi mtagwama umeme ukikatika. Mambo ya kusafiri roho mkononi ndo hayo. Kwanza maswala ya umeme Tanzania yalivyo!? Janga hilo!
 
Beautiful Nairobi
Screenshot_2024-05-10-20-50-41-58_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg

Screenshot_2024-05-10-20-50-53-95_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Mpumbavu na anaendeshwa na imani za kimakobaz na mvaa ushungi wake.
📌📌📌🔨 Mpumbavu wa kwanza atakuwa ni Nyerere aliyetimua Hadi Balozi wa Mashoga/RC hapa Tanzania akiwa Rais.

View: https://twitter.com/HistoriaYetu/status/1711708281310183613?t=P4s6XgfWPbETv__Di5WBqg&s=19

My Take :We Nyumbu na hater wa Samia acha kutapatapa 😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣👇👇

View: https://twitter.com/HistoriaYetu/status/1710617621626843377?t=m0JERyoYtT9RcFBMlVrWHA&s=19
 
Back
Top Bottom