Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATCL says the plane was taken for mandatory maintenance in Nov 2023 SASA nashangaa MTU anauliza swali na kila kitu kipo clear 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Screenshots_2024-05-10-22-25-46.png
 
Ikiwa Kenya hakuna hio Uganda utapata wapi 😅😅😅😅😅😅😅

Ila wachina kiboko 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?s=19

Narudia kukwambia official howo truck assembly plant iko Tanzania 40units a day KAZI kwako SASA uumie au ukubaliane na ukweli 😅😅😅😅😅😅😅
Their official X account
 
Rudi kwenye topic Kwanza nipe tofaut ya economic sense ya bus na SGR difference ya 1hr 😅😅😅😅😅 na still SGR iko outside the city ni lazma utafute usafiri 30min again to town

Piga mahesabu uone je nikweli 470km unaenda 6 hrs with 120 speed au ??😅😅

Nani Hana modern and beautiful terminals au unadhani dunia inazunguka Kenya pekee

Huwez kwenda 200km/HR alaf ukatumia 6hrs kwa 470km unless akili yako iwe inafanya mahesabu ya 1+1= 11😅😅😅😅😅
Ndio mkajenga stadium ikiwa Trapezium. Hivi wewe hujui kitu huitwa average Speed!? Muda wote na wa mapumziko upo hapo. Train husimama, Mariakani, Miesenyi, Voi, Mtito Andei, Emali, Kibwezi, Athi River kabla Kufika Nairobi. Kwa hali tu ya kuwafurahisha wasafiri. Kama sio watu wa kutafuta Likes, SGR Kenya imekubaliwa na wengi ambao wamesafiria 9.5 out of 10

Hata kama ni wewe ungetaka mbio za nini mahala kama hapa!?
images (2).jpeg
images.jpeg
images (1).jpeg
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    7.4 KB · Views: 6
Ndio mkajenga stadium ikiwa Trapezium. Hivi wewe hujui kitu huitwa average Speed!? Muda wote na wa mapumziko upo hapo. Train husimama, Mariakani, Miesenyi, Voi, Mtito Andei, Emali, Kibwezi, Athi River kabla Kufika Nairobi. Kwa hali tu ya kuwafurahisha wasafiri. Kama sio watu wa kutafuta Likes, SGR Kenya imekubaliwa na wengi ambao wamesafiria 9.5 out of 10

Hata kama ni wewe ungetaka mbio za nini mahala kama hapa!?
View attachment 2987279View attachment 2987280View attachment 2987281
Hio stadium ina standard na technology zote ambazo hakuna hata stadium yenu moja inayo 😅😅😅😅😅😅😅😅 na inatambulika na CAF

View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=ESYoHp3yukQaHI-5RtPnog&s=19

View: https://twitter.com/kinjeketile/status/1596942931411496961?t=-idEhiGQ3qJ5qg1qdMEzeQ&s=19

Eti average speed faida yake ni nn SASA?? Ikiwa haina economic reason haina tofaut na bus mashcool au tahmeed 😅😅😅
Kwani aliekwambia Tanzania hautasimama kwenye kila kituo ni Nani ?? SGR gani ambayo mpaka Leo haijawah kuzalisha faida inatafuna pesa za taxpayer's na madeni kila Kona ya mchina, alikubali SGR yenu mchunguzeni vzr kuna fuse moja imekata Moto 😅😅😅😅😅
 
2018, Grounded for 7 months in 2023!? After being bought at what??? No wonder shirika lipo kwenye mwendo wa Hasara!!
Kashaeleza ni mandatory maintenance hapo bado unataka nn?? Zilienda mbili mbona moja ilirudi na inapiga kazi, 😅😅😅

Munajipa presha za bure
 
Kuna moja ilishikwa sijui ni SA ama wapi kwa miezi. Nadhani wakulima wahuko walikua na shughuli nayo!? Ama vipi. Kuna vipindi huko Bongo kweli!! 🤣🤣🤣🤣🤣👌
Waliachia after 2 days kwani huna habari😅😅
 
Hio stadium ina standard na technology zote ambazo hakuna hata stadium yenu moja inayo 😅😅😅😅😅😅😅😅 na inatambulika na CAF

View: https://twitter.com/CoachCalito/status/1680864781849305089?t=ESYoHp3yukQaHI-5RtPnog&s=19

View: https://twitter.com/kinjeketile/status/1596942931411496961?t=-idEhiGQ3qJ5qg1qdMEzeQ&s=19

Eti average speed faida yake ni nn SASA?? Ikiwa haina economic reason haina tofaut na bus mashcool au tahmeed 😅😅😅
Kwani aliekwambia Tanzania hautasimama kwenye kila kituo ni Nani ?? SGR gani ambayo mpaka Leo haijawah kuzalisha faida inatafuna pesa za taxpayer's na madeni kila Kona ya mchina, alikubali SGR yenu mchunguzeni vzr kuna fuse moja imekata Moto 😅😅😅😅😅

Wewe hayo ukayatoa wapi!? Kwa CCM ama!?
 
Wacha kutuletea story za abunwasi pesa za kulipa madaktari hamuna, pesa za kuondoa watu kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe pia hamuna itakua mambo ya rocket 😅😅😅😅

Kama ni ndoto basi amka uende chooni ukakojoe
Kukojoa ntakojoa lakini ujue, muda tutawauzia Nakuja 10.1 Missiles. Made in Kenya
 
Back
Top Bottom