Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilaza unataka uwekewe evidence mara ngapi? Ubishi za kijinga sana hizi
Msikieni huyu bumunda 🤣🤣🤣🤣
Mbona una type huku hujiamini, weka link nikaone mwenyewe na sio picha, mbona sisi tunaweka link? Ok weka video nikaone hiyo plant unaogopa nn sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
KBC inashika kila decorder zuku/star times/DSTV zote
Hakuna Ligi duniani inaendeshwa hivyo. Lini BBC wakafanya mambo hayo. KBC ajikite kueneza propaganda za Mama Ngina. Sports TV zinakuwa dedicated for Sports.

Sisi Tanzania tulishatoka huko. Tulishafanyia experiment tukaona side effects zake. Pambaneni muwe na strong sports media kama Tanzania.
 
Nadhani Una hoja!... Kila nikiangalia production list na deliveries za Boeing kwa ndege aina ya B737 B787 nimegundua kuwa wanakarabati ndege zao kongwe, wanazipaka rangi et voilà.....
Tanzania Serikali nzima na wachungaji wa roho wanakusanyika uwanja wa ndege kufanya sherehe eti wanapokea ndege mpya! 😲
Kitu kipya unatengeneza mwenyewe bwana alaaa! 🤓
Most planes your government is buying are refurbished planes. You will never hear KQ, Rwandan airlines or Ethiopian Airline planes being repaired for 7 months.
 
Kuna mkenya kapost humu assembly plant humu Nikacheka sana
Kule Nairaland walifurumushwa na kwa sasa wanaogopa kuongelea issue yoyote ya kenya huko. Kila nchi inawakataa kutokana na behavior ya mbovu.

1. Somalia Wanakuja Tanzania
2. Ethiopia wanakuja Tanzania
3. Uganda wanakuja Tanzania tena tumefunga ndoa kupitia project ya bomba la mafuta
4. South Sudan wanasaidiwa na Tanzania kwa kila kitu. Jeshi la kenya lilifukuzwa huko na wakaomba Tanzania wasaidie.


Hawajishitukii tu. Uingereza nayo inawakacha. Ndio nchi pekee waliyokuwa wanaitegemea.

Wanataka kuigeukia China wakapigwa KO.

BADO HAWAJIFUNZI.
 
SASA Wanaumia kwann, kumbe na Air Tanzania inawanyima usingizi😅😅😅😅
View attachment 2987465
Hapa kuna pesa inapigwa mkuu, hakuna cha ukarabati mkubwa wala nn, hizo ndege ni mpya kabisa na tulikuwa tunaona utengenezaji wake hatua kwa hatua mpaka inakamilika, iweje huo ukarabati mkubwa? Wanakarabati nn kwa miezi saba? Kuna harufu ya ufisadi hapa mkuu.
 
Most planes your government is buying are refurbished planes. You will never hear KQ, Rwandan airlines or Ethiopian Airline planes being repaired for 7 months.
Because umeanza kuingia kwenye internet 2023. Unataka watu waanze kuiongelea Rwanda kwa kipi? What is the benefit ya kuanza kuandika News kusu Rwanda?

Ethiopia have more than 145 Fleets ndege moja ipelekwe matengenezo wakuambie wewe Kundustan ni nani?

KQ is a dead airline owned by KLM nani aongelee kitu ambacho kimekufa?

AIrTanzania is a hot cake kila mmoja anataka atengeneze contents ili aweze kupata folllowers wengi kwenye mitandao.

Kama Vlogers wa kenya wanavyofanya ili waweze ku boost accounts zao lazima waiongelee Tanzania.
 
Admit ukweli kua mwenye dhamana ni Azam TV ndio ana rights za kuonesha ligi yenu na hakuna MTU mwengine mwenye uwezo huo kwenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

View: https://twitter.com/AmandoCrusader/status/1697173801048420770?t=bQX9yT0LO3z7fY2wg😵pQ&s=19

Aug 2023 alafu 5 months later KBC ikapewa hizo hizo rights.
Screenshot_20240414_125720.JPG
 
Back
Top Bottom