ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Aloo munazidi kuwachanganya kabisa 😅😅
Aloo munazidi kuwachanganya kabisa 😅😅
Peleka hasira zako mbali. Hapa imeandikwa vizuri hati from March to 9th May hiyo kampuni imeunganisha tu gari 150. That’s like 2 lories per day😂😂Yani wewe kichaa mtu akisoma comment anakuona kichaa haswaa, kwnn unapenda kujifariji kwenye hamna namna hii, zile zama zenu mlizokuwa mnaichafua Tanzania alafu watanzania wamekaa kimya zishapita, learn how to live with time, now kuna watanzania wenye exposure kuliko wakenya, usipoteze muda wako kizembe hivii.
Hiyo shamba ndio unaongelea ama?😂😂😂Na inamilikiwa na team hata haijulikani Tanzania 😅😅😅😅😅
View: https://x.com/godbless_lema/status/1788956540705079327
Hivi hii ndege mpya Boeing 5H-TCJ inakuwaje kwenye hali hii kwa miezi saba? Hiyo nyingine inayotarajiwa mwezi huu ni 5H-TCQ Boeing 787-8 ni mpya kweli au "Recycled" ?
😳
Na hio ni before kufunguliwa what about after kufunguliwa how do u feel 😅😅👇👇
Duh English gani hii?They like to believe what they think and they you dispute their belief you automatically become their enemy 😂😂😂.
Shauri yako na connections zako.Don't be silly mdogo wangu...
Tuongee issue nyingine... Naweza nikiwa Nina connection ikabidi nipost humu..
Reality yenye ichoboy01 hapendi kusikia😂😂Na hio ni before kufunguliwa what about after kufunguliwa how do u feel 😅😅👇👇
View attachment 2987159View attachment 2987160
Huna akili ndege zinatoka boeing kwenyewe kiwandani unasema used 😅😅😅😅Niliwaambia mlinunua second hand planes mkapinga😂😂
Ya watchman.Duh English gani hii?
Basi how come ndege mpya is being grounded for 7 seven months? Nyinyi mlinunua refurbished planes😂😂😂Huna akili ndege zinatoka boeing kwenyewe kiwandani unasema used 😅😅😅😅
Lakini Kenya hakuna plant ya hivyo ndiyo au sio 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Yani huyu myemen hawezifanya hata basic research kabla ya kutokwa na povu! Yani hajui Howo wanafanya assembling Rwanda na Uganda?
Wewe myemeni, tangu lini Uganda ikatolewa kuwa part of East Africa?
![]()
Ugandan Sinotruk assembler targets regional market
Kampala, Uganda | URN & AGENCIES | Double Q Company Ltd has commenced construction of a new assembly plant to increase its output of mainly Sinotruk heavy goods trucks in Uganda. Currently, the company with its operations at Busega along the Northern Bypass in Rubaga Division, Kampala, is...www.independent.co.ug
Hata hao wanjua Kenya is the Dominant force in East Africa.Screenshot yake mwenyewe inasema Kenyas Dominance. View attachment 2987171
Kenya was the first Country in East Africa to have HOWO assembly plant. Tanzania ni wa mwisho kama kawa.😂😂Lakini Kenya hakuna plant ya hivyo ndiyo au sio 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Plant ya kuunganisha lory mbili kwa siku?😂😂Lakini Kenya hakuna plant ya hivyo ndiyo au sio 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣