Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mbona mmegeuka majokers? Hii battle imekuwa ya kipumbavu kwa sasa mana utoto ni mwingi sn, hivi ni kweli kabisa tunashindana kuhusu diesel SGR vs electrified SGR?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu Konza au tatu vs Dodoma?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu soccer? Tuna ligi number 6 kwa ubora Africa, tumepeleka timu mbili robo fainali Africa, tumepeleka timu ya taifa Afcon, nchi pekee Africa mashariki?

Ni kweli tunabishana kuhusu sinotruck assembly plant? Mnalazimisha kwenu ipo wakati hakuna!!!

Huu ni utoto na ujinga wa kiwango cha juu sana, sikuwa najua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki aisee.
Hiyo ndio typical kenyan. Anataka abishe tu hata kama kitu kiko obvious. Dig deep down, inferiority complex inawala taratibu taratibu. Wanaiogopa Tanzania kuliko kitu chochote.
So waache tu wajifurahishe.
 
Wapi!? CAF has never approved that grazing field. Ama Leta ushahidi
Utoto mwingine huu hapa 👆👆

Kama CAF hawaja approve stadium inawezaje ku host game za CAF? Nijibu hapa alafu tuendelee, nijibu kikubwa usiniletee utoto mana nishakuwa mtu mzima sasa sipendi utoto.
 
Baada ya hapo tunataka tune match ikioneshwa na Azam TV. Thanks Azam TV kutuonesha Kundustan Football matches.
Azam wanatakiwa waishikuru sn, kwa sasa wanapambana wafikie ligi ya Tz lkn waaapiii tulishawaacha, huku Tanzania ligi inakuwa bora kutokana na pesa, bingwa wa Tanzania anapata zaidi ya TZS 600m, bingwa Kenya anapata TZS 20m.
 
Songwe
1720640251.jpg
-1773502712.jpg
2019107270.jpg
1472169014.jpg
1942481386.jpg
-1634534405.jpg
1654777577.jpg
 
Halafu saa hii wana ndege tano mpya ziko grounded na bado wanang'ang'ana kununua zingine ndio waonekane mababe. Hii biashara hawaiwezi na kitawaramba. Wanadhani airline ni daladala.🤣
In a year wamebeba tu Abiria 850,000😂😂😂.

Wanajaribu kushindana na Kenya.
 
Back
Top Bottom