Kuna muda unatakiwa UPUNGUZE USENGE UNAKERA.
1)BRT kuelekea Gongo la mboto mradi umeanza toka 2022 mpaka leo hii barabara zimechimbwa gari haziendelei.Je huko sio kukwama!?
2)Acha Usenge KIGAMBONI KILA SIKU IENDAYO YA MUNGU UMEME UNAKATIKA na hapa umekatika usiku tumelala giza umerudi saa tano.HUO UZALISHAJI MWINGI UNATOKA WAPI!?
3)Zile zilikua kipindi cha kampeni siasa nyingi wala silaumu na sitamlaumu Magufuli hata kama hajatekeleza,ila Magufuli alijitahidi kutimiza yale aliyosema akiwa ofisini,mlisema February mgao wa umeme hautakuwepo mgao ukaenda mpaka April,mkasema mitambo inazalisha kwa wingi hivyo umeme hautakatika tena,ila mpaka sasa umeme umekatika countless times.Mlisema February SGR itaanza kazi mkavusha June sasa mnasema July,FAKE PROMISES DAILY.
4)Hivi una habari kuwa Tanzania imeshuka toka LMI kuwa LDC!?
Hivi unajua shilingi ni miongoni mwa pesa zenye thamani MBOVU NA NDOGO AFRICA.
5)Vipi kuhusu mfumuko wa bei hususan sukari?
6)Unaonekana bado kijana mdogo,nakupa homework tembelea TRA huu mfano napenda sana kuutolea nenda ukaone watu wanavyofanya madudu hapo TRA,nidhamu hakuna kabisa ya utendaji.
1.Kwa hiyo brt ni madarasa kwamba ndani ya mwaka mmja na nusu itakuwa imeisha si ndio? Kwa hiyo hizi mvua zilizoanza mwaka Jana mwezi wa 9 Hadi Leo hii unaweza Jenga Barabara? Ulienda shule kusomea ujinga?
2.Ni lini umeme umewahi acha kukatika? Kwani sababu za kukatika huzijui? Mara ngapi umeambiwa so long as miundombinu ni chakavu na mahitaji yanazidi kukua kukatika hamuwezi epukika Hadi hapo overhaul itakapokamilika.
3.😂😂😂😂😂 Utapeli mtupu,hakuna Rais aliyetekeleza Ilani Kwa Ukubwa kumzidi Samia ,uliza Wana ccm wasio na chuki binafsi.Taja Hadi ambazo Samia hajatekeleza.
4.Hujui uchumi wewe kima,unajua hata vigezo vya kuwa LDC au kuwa Lower middle income? Unajiabisha ,Tanzania haijawahi na kamwe haitakuja kutoka huko ila inaenda mbele maana per Capita inazidi kuongezeka.
5.Naongea na mbumbumbu wa Uchumi,tangu lini Tanzania kukawa na mfumuko wa bei? Item 1 unaweza sema Kuna mfumuko wa bei? Mwisho unajua kwamba aliyevuruga soko la Sukari alikuwa Magufuli na Kwa mara ya kwanza shortage na bei zilioanda akiwa Rais ndio hicho kinatesa Serikali Hadi Leo hii?
Mwisho Mama amekuja na ubunifu NRFA wataanza kununua na kutunza sukari hutosikia tena Hilo kutokea kuanzia next financial year.
6.Wanafanya madudu yet Bado Mapato yake double.Wakati hakuna madudu Kwa nini Mapato yalikuwa kiduchu? Yalienda wapi? Ndio maana Mwigulu Huwa anaulizia kama pesa zinaibiwa na maelfu ya miradi kilasekta wakati haziibiwi pesa mlikuwa mnazipeleka wapi?
Wajinga ndio waliwao ,wazee wa plea bargain 😁😁😁